Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Vyeti vya over speed vipo tafadhalini msiwaige wale cruiser za STL 😂

Vyeti tulivyopewa wao ndio walikuwa chanzo, unamuona anakupita shwaaap ukicheck unammudu basi unaunga naye weee huchukui round wanyabe hawa hapa na li calculator lao.
 
Mwanza tamu 😍

Loc. Malaika Beach Resort

Bei ya room mshahara wangu kwa Muhindi mwezi mzima, nyieeeee 😂 😂

Anyways' siku moja moja sio mbaya kuubariki mwili.
Ahsante mungu mmefika salama............

Malaika Beach hotel ni habari nyingine,full of leasure na mfuko uwe umetuna vyema..

Vyeti vinalipika Kula raha,ubariki mwili ukirudi kusanya ukawalipe
 
Gairo.
IMG_20211224_034324.jpg
 
Vyeti vya over speed vipo tafadhalini msiwaige wale cruiser za STL [emoji23]

Vyeti tulivyopewa wao ndio walikuwa chanzo, unamuona anakupita shwaaap ukicheck unammudu basi unaunga naye weee huchukui round wanyabe hawa hapa na li calculator lao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom