Hapana. Nlikuwa gari ya tatu nyuma yake.Ile nyeupe?
Yani watu wamepasuka sana aisee... Pale segera yule bodaboda atakuwa amedanji, na ile RAV4 iliyomsomba naikumbuka ilinikata.1100 hrs nimefika arusha.
Zaidi ya korogwe total kuongeza mafuta, sijasimama tena mpaka arusha.
Ila hizo ajali za njiani sio poa.
Advertise imeanzia kule bagamoyo, kuna cruiser imeipasua kilimanjaro, ule mzinga sio wa kitoto.Yani watu wamepasuka sana aisee... Pale segera yule bodaboda atakuwa amedanji, na ile RAV4 iliyomsomba naikumbuka ilinikata.
Bagamoyo kule ndio ajali ya gari 3, noma na nusu
Kipindi hichi panahitajika discipline sana, kuna watu wanaendesha kama wako mandela road.Advertise imeanzia kula bagamoyo, kuna cruiser imeipasua kilimanjaro, ule mzinga sio wa kitoto.
Kuna moja imetokea mbele kidogo ya same, gari ndogo imebutua lorry kwa nyuma. Hiyo gari ni completely totaled..
Bimmer nilizonote ni ile 320i nyeupe na X5Hapana. Nlikuwa gari ya tatu nyuma yake.
Kupo na vibe sana huko road ukichanganya na kukosa uzoefu.Kipindi hichi panahitajika discipline sana, kuna watu wanaendesha kama wako mandela road.
Niliwaacha waende sikutaka kuwapita maana hawakuwa na ustaarabu, mmoja ndio huyo nikamkuta kala bodaboda pale segera na gari yake imeisha mbele.
Ford Ranger ni nzuri kimuonekano ila haina horses za kutosha kutoboa huko.Jamani 180 msiichukulie poa.
Kuna mwamba mmoja na Ford Ranger niliona anataka kunidhalilisha wakati naitafuta Same, nikatembelea pedal to the metal.
Namwona anasogea, namwashia na indicator kumruhusu apite ila hawezi kuichochea ipitilize 200 in enough time to pass safely. Nikaishia kumvimbia katika misingi hiyo, nikapiga TWO (Throttle Wide Open) overtakes kadhaa akashindwa kuzimatch nikasepa nikapotea.
Alikuja kunipita nikiwa nafuata 50 ndio sikumuona tena. Hata kama nimeliwa, amenila kwa tabu kwelikweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Isingekuwa kuogopa fine tungevimbiana sana
Nilipita na X3.Bimmer nilizonote ni ile 320i nyeupe na X5
Nna 280hp under the hood mkuu... Na nagonga 180 in 30 seconds.Ford Ranger ni nzuri kimuonekano ila haina horses za kutosha kutoboa huko.
Just 200hp tena ile wild track. Ingekuwa arround 250hp ungekula jeuri yako.
Huenda ikawa ndiyo, maana zinafanana fanana Sikuwa nafocus muda huo, yule kuku walimpika mtamu kaka [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nilipita na X3.
You need a 260 car.Nna 280hp under the hood mkuu... Na nagonga 180 in 30 seconds.
You need serious muscle kunipita haswa na barabara zetu za single lane hizi, unahitaji nafasi ya kutosha kwenye oncoming lane ufike 200+ unipite
Until next time bro.Huenda ikawa ndiyo, maana zinafanana fanana Sikuwa nafocus muda huo, yule kuku walimpika mtamu kaka [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Drive safe mkuuUntil next time bro.
Was nice meeting you.
I'm sure tutakutana huko kwa trips.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]You need a 260 car.
180 is wastage of time.
Hili ni tatizo kubwa. Ndio maana napitaga na kahoniMuwe makini na side mirrors zenu when switching lanes!
View attachment 2055612
260KPH ni deinjaaah😅 na akipewahio hamna kenge atamgusa! It takes a Lexus to have 260KPH or infinity. Other than that we should consinder our autobhan fellowsYou need a 260 car.
180 is wastage of time.