OnePlus Nord CE
Senior Member
- Feb 5, 2019
- 176
- 347
Pole sana mkuuWakuu nimepoteza mtoto mchanga Jana alfajiri. Yote ni mipango ya Mungu haina makosa. Niwatakie Christmas njema na heri ya mwaka mpya.
Daaaah pole sana RRONDO [emoji22][emoji22]Wakuu nimepoteza mtoto mchanga Jana alfajiri. Yote ni mipango ya Mungu haina makosa. Niwatakie Christmas njema na heri ya mwaka mpya.
Kaka! Pole sana kaka. Mungu ni mwema, akutie nguvuWakuu nimepoteza mtoto mchanga Jana alfajiri. Yote ni mipango ya Mungu haina makosa. Niwatakie Christmas njema na heri ya mwaka mpya.
Pole sana mkuu. Mungu awatie faraja kipindi hiki kigumu mnachopitia.Wakuu nimepoteza mtoto mchanga Jana alfajiri. Yote ni mipango ya Mungu haina makosa. Niwatakie Christmas njema na heri ya mwaka mpya.
Pole sana.Wakuu nimepoteza mtoto mchanga Jana alfajiri. Yote ni mipango ya Mungu haina makosa. Niwatakie Christmas njema na heri ya mwaka mpya.
Doh! Pole sana aisee! Hakika tunapaswa kumshukuru Mungu kwa kila jambo. Ni rahisi kusema hivi, lakini ngumu kufanya. Basi Mungu awape nguvu na amani katika kipindi hiki kigumu. Pole sana bro.Wakuu nimepoteza mtoto mchanga Jana alfajiri. Yote ni mipango ya Mungu haina makosa. Niwatakie Christmas njema na heri ya mwaka mpya.
Pole sana komrade na peleka pole zetu pia kwa mama watoto na tunaomba mola akawe faraja kwenu na familia kwa ujumla ktk kipindi hiki.Wakuu nimepoteza mtoto mchanga Jana alfajiri. Yote ni mipango ya Mungu haina makosa. Niwatakie Christmas njema na heri ya mwaka mpya.
Wakuu nimepoteza mtoto mchanga Jana alfajiri. Yote ni mipango ya Mungu haina makosa. Niwatakie Christmas njema na heri ya mwaka mpya.
Pole sana brohWakuu nimepoteza mtoto mchanga Jana alfajiri. Yote ni mipango ya Mungu haina makosa. Niwatakie Christmas njema na heri ya mwaka mpya.
pole sana jamaa,Mungu akutie nguvu.Wakuu nimepoteza mtoto mchanga Jana alfajiri. Yote ni mipango ya Mungu haina makosa. Niwatakie Christmas njema na heri ya mwaka mpya.
Pole sana mkuu,Mungu akufanyie wepesi.Wakuu nimepoteza mtoto mchanga Jana alfajiri. Yote ni mipango ya Mungu haina makosa. Niwatakie Christmas njema na heri ya mwaka mpya.
Hizo uelekeo Ifakara mpaka Mahenge.Na close hapa kijazi na kwa chini naliona basi la kidinilo linapakia abiria sijui linalwenda uelekeo wa wapi saw hizi !!!!
Mlimani City ndio Sahihi, Christmas nilikuwa namalizia kimeo nimekesha mchana nikapumzika.
Hapo malindi [emoji23][emoji119]Moshi pazuri
Hugo's
Manyelez
Woodland na Redstone
Ndio starehe zinakopatikana Moshi
Usisahau malindi[emoji1787]
Duuh, hapa unajitolea kujenga madarasa,ofisi za walimu na mashimo ya choo.Mbona TRA ni wa katili sanaaa...
Bavaria ISO M.CodD Offshore Seamen mtongwe Extrovert RRONDO View attachment 2056106
Pole Sana Mkuu, Mwenyezi Mungu awape faraja kipindi hikiWakuu nimepoteza mtoto mchanga Jana alfajiri. Yote ni mipango ya Mungu haina makosa. Niwatakie Christmas njema na heri ya mwaka mpya.
Aicee pole sn kaka[emoji120]Wakuu nimepoteza mtoto mchanga Jana alfajiri. Yote ni mipango ya Mungu haina makosa. Niwatakie Christmas njema na heri ya mwaka mpya.
Leo twatoka nje ya Mji kidogoView attachment 2048331
Wakuu nimepoteza mtoto mchanga Jana alfajiri. Yote ni mipango ya Mungu haina makosa. Niwatakie Christmas njema na heri ya mwaka mpya.
Pole chiefWakuu nimepoteza mtoto mchanga Jana alfajiri. Yote ni mipango ya Mungu haina makosa. Niwatakie Christmas njema na heri ya mwaka mpya.