Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wakuu nimepoteza mtoto mchanga Jana alfajiri. Yote ni mipango ya Mungu haina makosa. Niwatakie Christmas njema na heri ya mwaka mpya.
Pole sana.
Mungu wa Mbinguni awafariji nafsi zenu,awafanyie wepesi familia mpite katika hiki kipindi kigumu mno .

AYUBU42:2
"Najua ya kuwa waweza kufanya mambo yote,
Na ya kuwa makusudi yako hayawezi kuzuilika"
.............

Bwana alitoa,Bwana Ametwaa,jina Lake lihimidiwe,,Amen[emoji120]
 
Wakuu nimepoteza mtoto mchanga Jana alfajiri. Yote ni mipango ya Mungu haina makosa. Niwatakie Christmas njema na heri ya mwaka mpya.
Doh! Pole sana aisee! Hakika tunapaswa kumshukuru Mungu kwa kila jambo. Ni rahisi kusema hivi, lakini ngumu kufanya. Basi Mungu awape nguvu na amani katika kipindi hiki kigumu. Pole sana bro.
 
Back
Top Bottom