Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

..[emoji28][emoji28][emoji28][emoji119][emoji119][emoji119][emoji28][emoji28]....
Hayo majina mengi ni ya rafiki zake...

Inaudhi lakini kimoyo moyo ninafurahia anavyopambana kuandika..[emoji119][emoji119]

Sina namna, inabidi ninunue ubao mkubwa zaidi
 

Yeah saa ingine uwe unamuita umawambia andika halafu mnasoma wote kama mko darasani atakuwa kila akitaka kuandika anaenda kwenye ubao mkubwa.

Pia msifie mwandiko wake mzuri....

Atapenda kuwa muandishi.
 
"Usimnyime mapigo mwanao........" Huo mstari ulikuwa unatumika kuwaadhibu watoto flani
 
Wazee wa Road Trip naombeni ushauri kidogo... Kuna gari Honda CR-V second generation (2002) nataka kuichukua, ila kabla sijaichukua nimekuja hapa kupata muongozo kwenu wadau.

Wasifu wa hii gari ni manual transmission yenye real time 4WD, gari ni left hand drive, mmiliki ni muhindi anakaa upanga hapo, aliinunua ikiwa zero mileage plate number ni CK, Hadi Sasa inasoma 130,000 mileage. Nimevutiawa na dash yake inasoma Kmh220 na Mph140.

Kwa wasifu huu mfupi mnanishaurije wadau? Kwenye swala la upatikanaji wa spare na mengineyo muhimu. CC RRONDO Bavaria Kijana wa hovyo hovyo Offshore Seamen ISO M.CodD na wengine wenye uzoefu na hii gari..

Natanguliza shukran.

Wazee wa picha :

 
Extrovert Mshana Jr RRONDO
 
Yeah saa ingine uwe unamuita umawambia andika halafu mnasoma wote kama mko darasani atakuwa kila akitaka kuandika anaenda kwenye ubao mkubwa.

Pia msifie mwandiko wake mzuri....

Atapenda kuwa muandishi.
[emoji28][emoji28][emoji28]. ...huwa tunafanya hivyo kwenye daftari zake...
Lakini jana kaona gari na ukuta ndiyo vitamu zaidi..[emoji119][emoji119][emoji119]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…