Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,515
- 9,415
..[emoji28][emoji28][emoji28][emoji119][emoji119][emoji119][emoji28][emoji28]....Mwanao ana mwandiko mzuri huo alipandika kwa herufi ndogo na heading ya Reading.
Hapo sijui inabidi umnunulie ubao mkubwa kama wa shule maana anaonekana anataka kuandika kama mwalimu anavyofanya shuleni....
Water dispenser imekipata cha moto, na hayo majina mengine yamejirudia kama aliyoandika kwenye gari, nahisi hao watakuwa rafiki zake.
Endelea kumuelewesha kadri anavyokua.
Hayo majina mengi ni ya rafiki zake...
Inaudhi lakini kimoyo moyo ninafurahia anavyopambana kuandika..[emoji119][emoji119]
Sina namna, inabidi ninunue ubao mkubwa zaidi