Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,515
- 9,415
Hizi za chini chini zinjitahidi sana kushika bara bara..mfano Crown au fuga...Mjapan akifika 150 lazima mguu urudi kati labda kama we ni mvuta bange.. Mzungu 180 comfortability yake utafikiri uko 80 ya Mjapan..
.....mazingira ya barabara za tz, muda mwingi ujasiri wa dereva ndiyo unaweza ukamfanya akawa mbane barabarani....Mpaka utoe limiter,otherwise inabidi uwe mnyonge tu. Halafu advantage ingine ya Euro make mtu anaenda 190kph ni kama 60kph ila Japanese ukifika 150kph inaanza kuhisi danger kwahio hata ukitoa limit labda uwe chizi ndio utazidi 180
Mkuu nimecheka tu. Kuna vitu hata uwe jasiri haviwezekani. Hizi Stori sijui IST Vitz dereva jasiri aniache na 3/4GR ni huko vijiweni tu......mazingira ya barabara za tz, muda mwingi ujasiri wa dereva ndiyo unaweza ukamfanya akawa mbane barabarani....
Sometimes usishangae ISt ikakuchapa na ikapotea..[emoji2960][emoji2960]
Kama ulitoka kwenye RAV4/Prado ukishika Crown utaiona inashika barabara. ILA kama umetoka kwenye BMW,Audi na wenzie ukishika Crown utaona inaelea tu barabarani.Hizi za chini chini zinjitahidi sana kushika bara bara..mfano Crown au fuga...
Mkuu.....mazingira ya barabara za tz, muda mwingi ujasiri wa dereva ndiyo unaweza ukamfanya akawa mbane barabarani....
Sometimes usishangae ISt ikakuchapa na ikapotea..[emoji2960][emoji2960]
Mkuu/BossMkuu nimecheka tu. Kuna vitu hata uwe jasiri haviwezekani. Hizi Stori sijui IST Vitz dereva jasiri aniache na 3/4GR ni huko vijiweni tu.
Hii ndio v8 bwege[emoji1787]Mkuu/Boss
Usikariri
Ulikuwa unajikimbiza mwenyewe. Ndio nyinyi na IST unakuta mwenye Crown kaamua kutembea 120kph unajikamua unapita na 135koh halafu unaenda kujisifu nimeichapa Crown.Mkuu
Hapo unenena
Juzi nimetoka mto wa mbu alfajiri ya saa tisa
Kunapambazuka nipo makanya mbele kidogo pale bwiko v8 bwege hii
Nikaichapa nilikuwa nateleza na 150kph
Ruminion[emoji41]
Ajabu leo tumekutana hapa mahali kumbe jamaa alikariri chombo
Sasa ndio ananiuliiza ilikuwa kuwaje[emoji1787]
Namchekii nakula safari mdogo mdogo
Yaani alikereka na anaomba ligi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hadi mwakani tena[emoji1787]Tafuta wewe IST au Vits stock na mimi nitakuwa na 4GR stock uchague pa kwenda.
Anakiri hapaUlikuwa unajikimbiza mwenyewe. Ndio nyinyi na IST unakuta mwenye Crown kaamua kutembea 120kph unajikamua unapita na 135koh halafu unaenda kujisifu nimeichapa Crown.
Kila mtu ana limit yake. Mtu anaweza kuwa na V8 lakini havuki 140kph sasa ukimpita huyo utasema uneichapa V8? Kuna V8 nilienda nayo nikapita na 160kph nikagindua huyu havuki mwendo huu sio kwamba gari yangu inakimbia kuliko hio V8Anakiri hapa
Alikuwa anatembea 160kph
Nimegundua kwake kitu kimoja
Kwa maelezo yake
Muoga kuvuka malori sehemu zilizonyooka
Nakubaliana na wewe huenda muda mwingi alikuwa akitembea chini ya hapo
[emoji38][emoji38][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Mkuu nimecheka tu. Kuna vitu hata uwe jasiri haviwezekani. Hizi Stori sijui IST Vitz dereva jasiri aniache na 3/4GR ni huko vijiweni tu.
Inabidi tu nicheke kama zombie..[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Mkuu
Hapo unenena
Juzi nimetoka mto wa mbu alfajiri ya saa tisa
Kunapambazuka nipo makanya mbele kidogo pale bwiko v8 bwege hii
Nikaichapa nilikuwa nateleza na 150kph
Ruminion[emoji41]
Ajabu leo tumekutana hapa mahali kumbe jamaa alikariri chombo
Sasa ndio ananiuliiza ilikuwa kuwaje[emoji1787]
Namchekii nakula safari mdogo mdogo
Yaani alikereka na anaomba ligi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nakubaliana na wewe mkuu, ila kwemye Crown,Fuga, Honda accord kama sikosei, Mjepu kajitahidi aisee....Ukikutana na matoleo ya Ulaya au America...ni kwikwi..[emoji4][emoji4]Kama ulitoka kwenye RAV4/Prado ukishika Crown utaiona inashika barabara. ILA kama umetoka kwenye BMW,Audi na wenzie ukishika Crown utaona inaelea tu barabarani.
Though I must admit the motor is superb just the limiter inazuia isifike over 200kph na kuna sababu kwanini wameweka limiter at 180
Binafsi naona V8 alikukaushia tu.
Kwa nini mnaaita bwege [emoji3][emoji3]
Kuna watu wana ujasiri sana wa kukimbiza magari.Inabidi tu nicheke kama zombie..[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
.kuna gari linaweza likakuoita ukajiuliza lina nini..