Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,515
- 9,415
Crown GRS 180 year 2005 inasoma namna hii..[emoji2960][emoji2960][emoji2960]Kama umeagiza gari pitia calculator ya TRA tena, mambo yamekuwa mengi.
Bavaria ISO M.CodD Kijana wa hovyo hovyo Boeing 747
Hii imeshuka?Kama vile ushuru umeshushwa kidogo au mimi ndiyo sielewi..[emoji2960][emoji2960][emoji119][emoji119]View attachment 2068088
Hii iko vile vileCrown GRS 180 year 2005 inasoma namna hii..[emoji2960][emoji2960][emoji2960]View attachment 2068080
Hii kuna wakati ilikuwa juuHii imeshuka?
Ati walikuchota? 🤣🤣🤣 kaneno 'kuchotwa ' kamenichekeshaTrue kabisa, binafsi spidi yangu mwisho 120, napenda kutembea kati ya 90 na 110. Ukinipita haina maana kuwa gari haina mbio. Pia kuna dereva wa Ofisini yeye huwa havuki 140 japo anaendesha gari kali sana, na mwingine havuki 160 lkni gari lake 260 kph. Wapo madereva wengi huwa wana limit ya mwendo kasi wa kuendesha. Binafsi nimejiwekea spidi limit ya kuendesha gari baada ya siku moja kuchotwa kwenye kona fulani huko Babati nikiwa spidi kubwa sana
🤣🤣 Usilie sasa jamaniSawa bwana dereva.... watu mkiwa na magari ya ulaya mnajiona madereva kuliko wengine wote yaani. Acha hizo mkuu...
Ni gari ndio ilichota mtama wa hatari, ikapiga u-turn katikati ya barabara nikiwa kama 120-130 kph. Kuna kushtuka nipo porini kama mita 15 kutoka barabarani na siamini kama.nipo salamaAti walikuchota? [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kaneno 'kuchotwa ' kamenichekesha
Mungu ni mwema.Ni gari ndio ilichota mtama wa hatari, ikapiga u-turn katikati ya barabara nikiwa kama 120-130 kph. Kuna kushtuka nipo porini kama mita 15 kutoka barabarani na siamini kama.nipo salama
Aah, acha tu, kuna situation za ajali unaweza jiuliza imetokeaje lkn usipate majibu. Kama hiyo iliyonikuta huwa sielewi nini kilisababisha hadi leo hii. Mashuhuda waliniambia gari yangu ilipaa, Since that day naendesha bila mashindano barabaraniMungu ni mwema.
Jana mitaa flani nyuma ya Kisongo kuna gari ilitoka kabisa barabarani mpaka majanini huko likely ni kama ilipaa ' sijui yule dere alikuwa anasinzia ndio akaipelekea mwenyewe... Sikuelewa kale ka situation ka ile ajali
Inabidi upige hesabu kama ndege,unaongeza mafuta mji mkubwa kwa mji mkubwa.Hii njia ya Arusha-Dom ya ajabu sana usiombe upite usiku yaan vituo vyote vya mafuta jamaa wamefunga wameenda kulala nimetembea karibia km 200 sijapata mafutaView attachment 2068239
Huwa najiuliza huyu mwenye IST akipewa V8 si balaa!Hivi nyie mnaofuta sahani kwenye baby walker umo ndani uwa hamtikisiki?
Imagine prado inaenda zake na 70/80 lkn IST alitupita ile shwaaaap ' afu unamuona yule anatokomea... Yule jamaa tulimkuta mjini 🤣🤣
Kuna jamaa yangu ana IST, anakimbia sana na ile gari. Yule jamaa akikabidhiwa Subaru au V8 ni hatariHuwa najiuliza huyu mwenye IST akipewa V8 si balaa!
Mtampoteza mapema😅 mwache akae kwenye NZ-T hioKuna jamaa yangu ana IST, anakimbia sana na ile gari. Yule jamaa akikabidhiwa Subaru au V8 ni hatari