Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Huwezi kukuta IST highway inaenda mwendo wa kinyonge, wote wanakamua balaa!
Siku zote ukiendesha baby walker, unajistukia kuwa unadharauli hivyo unatanua mbavu...

Ni kama wanaume wafupi wakikaa na wanaume warefu, daima wale wafupi wanakuwa na fujo, kwa sababu wanajistukia kuwa wanadharauliwa....kumbe hakuna mtu mwenye shughuli nao...[emoji85]
 
Hii njia ya Arusha-Dom ya ajabu sana usiombe upite usiku yaan vituo vyote vya mafuta jamaa wamefunga wameenda kulala nimetembea karibia km 200 sijapata mafutaView attachment 2068239
Kuna sera ambayo huwa naitumia nadhani itakusaidia.

Kama unasafiri ukafika sehemu unakuta kuna fuel stations za kueleweka na tank lako linaonesha nusu, jaza full tank tembea. Manake huwezi jua huko mbele utakutana na nini.

Kuna mwaka tulisafiri toka Dar kwenda Arusha, nafika Moshi mjini taa inawaka na petrol hakuna mji mzima. Nilipaki gari sheli nikapanda bus kwenda arusha. Nikarudi baada ya siku 3 mafuta kuja.

Toka siku hiyo, kama nasafiri, tank likiwa nusu, najaza full.
 
Nikiwa na kasafari ka Arusha-Dar, nikifika Same tu najazia...hapo natoboa bila wasi wasi...
Ulichoandika cha taa kuwaka hakafu huoni kituo cha kujazia karibu kilishawahi kunitokea....yaani mpka ujasiri unapungua
 
Kuna mwamba nilikuta yupo na mkewe porini kati ya Dodoma na Iringa kaishiwa mafuta, yeye alijua kati ya dom na Iringa kuna petrol station kumbe hakuna. Alimwacha mkewe pale porini, yeye nikampa lift hadi mjini ili akanunue kwenye kidumu
 
Kama unaenda sehemu usiyoijua, ni afadhali kuongeza mafuta pale tu unapoona kituo...
 
Nikiwa na kasafari ka Arusha-Dar, nikifika Same tu najazia...hapo natoboa bila wasi wasi...
Ulichoandika cha taa kuwaka hakafu huoni kituo cha kujazia karibu kilishawahi kunitokea....yaani mpka ujasiri unapungua
Hata korogwe pia, napaona kama katikati.

Ule moto ninaouwasha same naona geji ya mafuta inashuka huku ikikimbia.

Nikifika korogwe kama najaza upya.

Nishawahi toka Arusha mpaka Same geji ya mafuta haijasogea hata jiwe moja.
 
Back
Top Bottom