Mkuu watoto wachape kwa makosa mengine ya utovu wa nidhamu, kiburi n.k lkn kuandika ukutani, n.k usihangaike, utaumiza tu watoto, na utakuwa unawaonea bure. Kuandika andika pasipostahili Ni katika hatua za ukuaji just like watoto kupenda kula mchanga na kuwa wadadisi. Everything is new to them and everything is adventure. Kuwa na moyo mweupe kwa watoto, wavumilie, hata wewe wazazi wako walikuvumilia kwa mengi hata kama walikupiga baadhi but trust me yapo mengi mno ambayo hawakukupiga.
Huyo mwanao hata ukimletea ubao wa kuandika bado ataandika pasipostahili, ni utoto tu, muda fulani ukifika ataacha. We endelea tu kumuelekeza.