Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Hata korogwe pia, napaona kama katikati.

Ule moto ninaouwasha same naona geji ya mafuta inashuka huku ikikimbia.

Nikifika korogwe kama najaza upya.

Nishawahi toka Arusha mpaka Same geji ya mafuta haijasogea hata jiwe moja.
Safari yangu ya kurudi Arusha-Dar nimeweka full tank hadi pump imekata, nimefika nayo hadi home ikiwa imebaki 7km range. Wakati wa kwenda nilitop up Korogwe nikafika nayo Arusha nikapiga misele yote ikabaki kama robo nikajazia siku ya kurudi
 
Kwenda arusha ni kama unapandisha kilima. Utatumia mafuta mengi zaidi ya kurudi ambapo unashuka.

Nikiwa na familia ni kawaida kuacha hata lita 10-15 nikiwa narudi dar.
 
Safari yangu ya kurudi Arusha-Dar nimeweka full tank hadi pump imekata, nimefika nayo hadi home ikiwa imebaki 7km range. Wakati wa kwenda nilitop up Korogwe nikafika nayo Arusha nikapiga misele yote ikabaki kama robo nikajazia siku ya kurudi
Unaendesha mpaka inabaki 7km? Duh huyu mwamba akifika around 30 anageuka desh desh na nyota nyota * * . * *
 
Mkuu watoto wachape kwa makosa mengine ya utovu wa nidhamu, kiburi n.k lkn kuandika ukutani, n.k usihangaike, utaumiza tu watoto, na utakuwa unawaonea bure. Kuandika andika pasipostahili Ni katika hatua za ukuaji just like watoto kupenda kula mchanga na kuwa wadadisi. Everything is new to them and everything is adventure. Kuwa na moyo mweupe kwa watoto, wavumilie, hata wewe wazazi wako walikuvumilia kwa mengi hata kama walikupiga baadhi but trust me yapo mengi mno ambayo hawakukupiga.
Huyo mwanao hata ukimletea ubao wa kuandika bado ataandika pasipostahili, ni utoto tu, muda fulani ukifika ataacha. We endelea tu kumuelekeza.
Amenikumbusha mbali miaka hiyo nasoma ..
Kuna dogo alishawahi chorachora daftari la mwalimu la notes.
Mwalimu alinipa nikaandike nyumbani,,ile nimetoka ,,kuja kurudi mezani baada ya muda yaani nilikuta daftari lote la notes za mwalimu limechorwa🤣🤣
Na anaendelea kuchora langu..hapo nikawaza kesho nitamwambia nini mwalimu..dogo namwangalia usoni ananichekea😂😂😂😂
 
True kabisa, binafsi spidi yangu mwisho 120, napenda kutembea kati ya 90 na 110. Ukinipita haina maana kuwa gari haina mbio. Pia kuna dereva wa Ofisini yeye huwa havuki 140 japo anaendesha gari kali sana, na mwingine havuki 160 lkni gari lake 260 kph. Wapo madereva wengi huwa wana limit ya mwendo kasi wa kuendesha. Binafsi nimejiwekea spidi limit ya kuendesha gari baada ya siku moja kuchotwa kwenye kona fulani huko Babati nikiwa spidi kubwa sana
🤣🤣🤣
"Baada ya siku moja kuchotwa kwenye kona fulani huko Babati nikiwa spidi kubwa sana"😂🙌😂🙌
 
Back
Top Bottom