Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,515
- 9,415
Siku zote ukiendesha baby walker, unajistukia kuwa unadharauli hivyo unatanua mbavu...Huwezi kukuta IST highway inaenda mwendo wa kinyonge, wote wanakamua balaa!
Ni kama wanaume wafupi wakikaa na wanaume warefu, daima wale wafupi wanakuwa na fujo, kwa sababu wanajistukia kuwa wanadharauliwa....kumbe hakuna mtu mwenye shughuli nao...[emoji85]