Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Kama umeagiza gari pitia calculator ya TRA tena, mambo yamekuwa mengi.
Bavaria ISO M.CodD Kijana wa hovyo hovyo Boeing 747
Crown GRS 180 year 2005 inasoma namna hii..[emoji2960][emoji2960][emoji2960]
Screenshot_2022_0104_115141.jpg
 
True kabisa, binafsi spidi yangu mwisho 120, napenda kutembea kati ya 90 na 110. Ukinipita haina maana kuwa gari haina mbio. Pia kuna dereva wa Ofisini yeye huwa havuki 140 japo anaendesha gari kali sana, na mwingine havuki 160 lkni gari lake 260 kph. Wapo madereva wengi huwa wana limit ya mwendo kasi wa kuendesha. Binafsi nimejiwekea spidi limit ya kuendesha gari baada ya siku moja kuchotwa kwenye kona fulani huko Babati nikiwa spidi kubwa sana
Ati walikuchota? 🤣🤣🤣 kaneno 'kuchotwa ' kamenichekesha
 
Ni gari ndio ilichota mtama wa hatari, ikapiga u-turn katikati ya barabara nikiwa kama 120-130 kph. Kuna kushtuka nipo porini kama mita 15 kutoka barabarani na siamini kama.nipo salama
Mungu ni mwema.

Jana mitaa flani nyuma ya Kisongo kuna gari ilitoka kabisa barabarani mpaka majanini huko likely ni kama ilipaa ' sijui yule dere alikuwa anasinzia ndio akaipelekea mwenyewe... Sikuelewa kale ka situation ka ile ajali
 
Mungu ni mwema.

Jana mitaa flani nyuma ya Kisongo kuna gari ilitoka kabisa barabarani mpaka majanini huko likely ni kama ilipaa ' sijui yule dere alikuwa anasinzia ndio akaipelekea mwenyewe... Sikuelewa kale ka situation ka ile ajali
Aah, acha tu, kuna situation za ajali unaweza jiuliza imetokeaje lkn usipate majibu. Kama hiyo iliyonikuta huwa sielewi nini kilisababisha hadi leo hii. Mashuhuda waliniambia gari yangu ilipaa, Since that day naendesha bila mashindano barabarani
 
Back
Top Bottom