Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Hii ukimpita mtu, atajiuliza kapitwa na rocket au gari kwa freedom hiyo.. mshale unaenda kabisa kwenye 260.. unaziacha 100 tu 😂😂😂Hio balaa!
Unatoaga za kubrush viatu?Asante mkuu..[emoji120][emoji120]
Huwa najitahidi sana nisipate vyeti...miaka takrabani 8, hicho ni cheti cha 4..
Najitahidi sana mkuu kufuata sheria....Japo wakati mwingine tunajisahau tunavunja sheria..[emoji38]Mwanangu unajitahidi sana kuheshimu sheria za barabarani! Miaka 8 vyeti vinne tu! Hiyo safi, hakuna haja ya kuwa na ugomvi na askari wa usalama barabarani. Mi pia napenda kutii sheria bila shuruti inanisaidia sana kupunguza gharama za safari bila sababu ya msingi
Hahaha...naona unachangia mapato ya nchi kwa kiasi chake..[emoji119][emoji119]Kwa mwaka napata vyeti kama vinne hivi. Hii ya juzi nilipata cheti kimoja nimeingia kwenye 50 nikahisi hawapo nikajiachia!
Hongera sanaHahaha...naona unachangia mapato ya nchi kwa kiasi chake..[emoji119][emoji119]
Cheti cha kwanza ilikuwa mwaka 2016..nilipigwa tochi..
Cheti cha pili Mwaka 2018 bima ilikuwa imeisha muda wake nikapuuzia..[emoji119][emoji119][emoji119]hatari sana..
Cheti cha tatu 2020 niliovateki darajani....
Cheti cha nne Mwaka huu 2022...niliovateki on the same area.
[emoji38][emoji38][emoji38]
Mimi kuandikiwa cheti ni kila baada ya miaka 2....ikitokea nikaandikiwa cheti kabla ya miaka 2 kupita, nitakileta hapa mchangie...maana kipo nje ya bajeti..[emoji38][emoji119][emoji119][emoji119][emoji2960]
Na barabara ya Morogoro Chalinze ilivyo na mkeka mzuri, haina shimo hata moja na haina matuta, ni machache sana. Pia ni barabara pana sanaHii ukimpita mtu, atajiuliza kapitwa na rocket au gari kwa freedom hiyo.. mshale unaenda kabisa kwenye 260.. unaziacha 100 tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Za kubrashi viatu huwa natoa..sometimes nasimamishwa, wananikagua wanakuta nipo safi...Unatoaga za kubrush viatu?
siwezi tembea km 2000 nikakoswaaa 😂😂😂😂Za kubrashi viatu huwa natoa..sometimes nasimamishwa, wananikagua wanakuta nipo safi...
Basi unakuta jamaa anaomba ya maji kistarabu...natoa chenchi yoyote iliyopo karibu..[emoji119][emoji119][emoji2960][emoji2960]
Nashukuru mkuu..[emoji120][emoji120]Hongera sana
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].km 2000 ni nyingi sana, kwa sisi vijana si rahisi kutoboa hizo km bila Cheti...siwezi tembea km 2000 nikakoswaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio MkuuNi leo au?
Hahaa, Jambo.
Hahaa kwamba hukukaona hako kakinyonga [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Duh kuna watu hamfai!
Kuna siku nilikua natoka dar kwenda bara. Nikapita mbezi kulikua na watu wengi saaana na gari ndogo nyingi Mida ya saa Saba mchanna.Nilipata mkuu, wa kawaida tu, baba mmoja alikuwa na mtoto wake. Na huwa sichukui abiria wenye mizigo
😂😂😂😂😂Kuna siku nilikua natoka dar kwenda bara. Nikapita mbezi kulikua na watu wengi saaana na gari ndogo nyingi Mida ya saa Saba mchanna.
Nika park wakanikimbilai vijana wanasema wana abiria wa Moro nikawambia nahitaji wa moja Kwa moja mpaka dom waksema hakuna hapo hao abiria wote ni wa Moro wanangoja abood zitoke Moro zije ziwabebe.
Wakati natafakari akatokea mbaba mmoja kavaa nguo za kimasai akaniuliza naenda wapi nikamjibu Dom, akauliza nauli ya Dom ngapi nikamtaji. Akasema yeye analipa nauli ya Dom lakini atashuka Moro na yupo na mwanae. Nikasema hamna shida.
Tuka Anza safari Yule Mzee WA kimasai alikaa seat ya mbele na mwanae nyuma. Nilianza kuona kero baada ya Mzee kuingiza mkono wake kwenye shuka lake na kukuna P***bu Kama vile yupo peke Ake chooni hivi ili bidi nizime AC tule upepo maana Hali ilibadilika. Mpaka tuna fika Moro Ile pesa yake ikabidi ninunue manukato.
Haushindwi kweli kugeuza wewe🤣Nageuza narudi angalau na mimi nionje utamu. Nitasafiri kesho yake [emoji23]
Kichwa chako cha moto sana🤣🤣🤣🤣🙌Yani mpaka vidole vimetoka jasho hapa kuimagine tu situation hii!!!
Ndio uwe na 250+hp na 260km/h kwenye kisahani, Mungu akupe nini tena?
Ha ha ha pole sana! Kuna watu ukiwapakia inabidi ufungue vioo!Kuna siku nilikua natoka dar kwenda bara. Nikapita mbezi kulikua na watu wengi saaana na gari ndogo nyingi Mida ya saa Saba mchanna.
Nika park wakanikimbilai vijana wanasema wana abiria wa Moro nikawambia nahitaji wa moja Kwa moja mpaka dom waksema hakuna hapo hao abiria wote ni wa Moro wanangoja abood zitoke Moro zije ziwabebe.
Wakati natafakari akatokea mbaba mmoja kavaa nguo za kimasai akaniuliza naenda wapi nikamjibu Dom, akauliza nauli ya Dom ngapi nikamtaji. Akasema yeye analipa nauli ya Dom lakini atashuka Moro na yupo na mwanae. Nikasema hamna shida.
Tuka Anza safari Yule Mzee WA kimasai alikaa seat ya mbele na mwanae nyuma. Nilianza kuona kero baada ya Mzee kuingiza mkono wake kwenye shuka lake na kukuna P***bu Kama vile yupo peke Ake chooni hivi ili bidi nizime AC tule upepo maana Hali ilibadilika. Mpaka tuna fika Moro Ile pesa yake ikabidi ninunue manukato.
Hongera sidhani kama nishamaliza mwaka bila mikeka miwili mitatu, na hapo za kubrush viatu zinakuwepo sana tu.Za kubrashi viatu huwa natoa..sometimes nasimamishwa, wananikagua wanakuta nipo safi...
Basi unakuta jamaa anaomba ya maji kistarabu...natoa chenchi yoyote iliyopo karibu..[emoji119][emoji119][emoji2960][emoji2960]