miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
Hii imeisha mkuu[emoji28][emoji28]Ha ha ha aisee!
Picha ya pili ina deserve tuzo!
hata hivyo Hongera kwa picha zote, hapo kwenye Twiga nikajua ni Makuyuni Babati -ArushaCheers 🥂.
Mengine sio bata ni majukumu tuu ya kulijenga Taifa 😊.
Sio kivile...from Dar to Arusha nimesimamishwa mara moja mbele ya Msata kabla ya Wami nilizidi 50kph kidogo nikasalimika bila faini.Kuendesha gari mkoa to mkoa wakati wa sikukuu hampati tabu za trafiki?
mnavyoyapenda magari kuliko hata mke...Dah....leo nimemuamsha "mnyama" toka bandani…...T *** AVX....katimiza miaka 12 mikononi mwangu.....msauz huyu hajawahi kuniangusha...kapita kusikopitika...….nampenda sana.....namfuta vumbi...natafuta ramani ya mwaka mpya ….. 🤭
Dah...mnyama huyu bado sana..ana 96Kkm tu...bikra nilitoa mwenyewe..enzi za JK...namtunza kama mke wa kipemba..hatoki nje bila sababu...nampenda..ndiyo mke mkubwa ...nitazeeka naye 🤣 🤭Hongera....mnyama wangu AVJ nilishamkata chuma chakavu!
yaani unabidi uwe mpole hawa jamaa nao wanajifanya vichwa ngumu hawaelewiSio kivile...from Dar to Arusha nimesimamishwa mara moja mbele ya Msata kabla ya Wami nilizidi 50kph kidogo nikasalimika bila faini.
From Arusha to Dar nimesimamishwa mara mbili (mistaken identity-speeding) walipojiridhisha wakaniachia.
Kwenye 50kph naenda 50kph, ikiachiwa namimi najiachia kweli kweli. Siovateki panaozuiwa naendesha by the book.
Kazi wale wanaokurupuka baada ya km kadhaa unakuta wamewekwa pembeni wanalimwa faini.
Aisee nimecheka kama mazuri! Ukiwa kichwa ngumu mfuko utaumia. Imagine upigwa fain 60,000/- mafuta ya 60,000 mengi sanayaani unabidi uwe mpole hawa jamaa nao wanajifanya vichwa ngumu hawaelewi
mwanzo walikuwa wakikuta Faini imefika 60,000/ au faini 2 wanakushauri ulipe kwanza, lkn kwa sasa wanakung'uta tu jamaa yangu wamemtundika mfululizo ndani ya siku moja
Aah kama hivyo Hana tofauti na DVA zetu. Gari mpya ina maishaDah...mnyama huyu bado sana..ana 96Kkm tu...bikra nilitoa mwenyewe..enzi za JK...namtunza kama mke wa kipemba..hatoki nje bila sababu...nampenda..ndiyo mke mkubwa ...nitazeeka naye 🤣 🤭
Ni sababu ya vingamuzi vikitolewa huwezi muona alipopitiaHawana mwendo wana fujo tu
Kweli mkuu unaita kimeo huku wengine anaomba kila siku apate hata hicho kimeoKwanini unaita gari yako kimeo? Usiishushe thamani kiasi hicho.....
Niliitaga Simu niliyopewa na baba kimeo, nilimwambia mdogo wangu niwekee kimeo changu chaji. Baba akanisikia kilichofuata hapo ilikuwa ni risala fupi from there naheshimu kila ninachokimiliki no matter kina hali gani...
Dah!Sio kivile...from Dar to Arusha nimesimamishwa mara moja mbele ya Msata kabla ya Wami nilizidi 50kph kidogo nikasalimika bila faini.
From Arusha to Dar nimesimamishwa mara mbili (mistaken identity-speeding) walipojiridhisha wakaniachia.
Kwenye 50kph naenda 50kph, ikiachiwa namimi najiachia kweli kweli. Siovateki panaozuiwa naendesha by the book.
Kazi wale wanaokurupuka baada ya km kadhaa unakuta wamewekwa pembeni wanalimwa faini.
Safari za siku hizi wala usijipe pressure nifike saa fulani wewe nenda kadiri hali ya barabara inavyoruhusu.Dah!
Hiyo ya kufuatisha vibao na mistari ndio ishu kwa wengine, gari ishachanganya mara kibao cha 50 hiki hapa...
Safari ya masaa 6/7 unatumia masaa 10
Wazee wa tochi wanakaa sana hizi sehemu. Tena wanakaa zile zinazochosha wanajua hapa uvumilivu utatushinda.Dah!
Hiyo ya kufuatisha vibao na mistari ndio ishu kwa wengine, gari ishachanganya mara kibao cha 50 hiki hapa...
Safari ya masaa 6/7 unatumia masaa 10
Nilipiga honi lakini haikusaidiaWakati mwingine unaweza ukampigia honi unaemu-overtake kumjulisha kwamba ushatoka kwahiyo aache ujinga anaofikiria kuufanya.
Nimeshajaribu kuna wakati inasaidia.
Sent from my SM-A720F using JamiiForums mobile app
Kuna watu wameshajua namna ya kumpiga huyu mzee..[emoji38]Magufuli kabana sana [emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1662632
Me mwenywe kwa muda mrefu sana hiyo R ya kwanza naiona kama P....[emoji38][emoji38]RRONDO yaani nikiona mahali umetamkwa jina lako kwa kuanzia P nashikwa na kicheko hatari [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]