Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Maana viongozi wanakaa wanawashangaa vijana ambao hatuna ajira..wanasema jiajirini ila mitaji hakuna na wanasema hakuna hela za kutosha kuwapa mitaji.Hahaaaaaa kwa hiyo badala ya nchi, jobless ndio watanadiwa
Achana na matani yanguInaonekana wadau wanataka kuja kukuungisha ila unateleza sana!
[emoji16]Usiniambie.
Sisi wazee wa bro niazime gari nitaweka mafuta unatusagia kunguni. Tunaweka ya elfu Tano Ili taa isiwake tunaporudisha gari 😂😂😂Sasa yule mteja alitoa elfu 10 ,kumbe ametamka awekewe ya elfu 5 wakati pump attendant ashaondoka kwenda kufungua gari....si akawekewa yote ya elfu 10!Alooo hapakutosha pale sheli😂😂😂😂😂😂😂.,akaanza kudai elfu 5 yake huku akitoa matusi yote.
Wanaume tafuteni hela jamani.
Hahah!Sisi wazee wa bro niazime gari nitaweka mafuta unatusagia kunguni. Tunaweka ya elfu Tano Ili taa isiwake tunaporudisha gari [emoji23][emoji23][emoji23]
Siku mpe ofa hata ya nusu Tanki, nadhani gari itagoma kuondoka maana haijazoea.Anawekaga ya elfu tano tano kila siku...nimeikariri ile passo.
I wish lakini tatizo sina hela na jeuri hiyo[emoji16].Siku mpe ofa hata ya nusu Tanki, nadhani gari itagoma kuondoka maana haijazoea.
Nitakuja mimi kukusalimiaSiyo hatuna upendo tatizo foleni za hilo jiji. Zamani wakati bado kula kulala nilikuwa na muda wa kufunga safari from Tegeta to Tabata ili tu nikatafute kijiwe kipya cha kula na kunywa nilikuwa siwazi kuhusu foleni maana sina pa kuwahi.
......
Tangu maisha yawe magumu huo utoto nimeacha asee kwenda sehemu ni hadi kuwe na jambo la msingi la kunipeleka. Nikimaliza kilichonipeleka ndiyo nitaangalia kama kuna kijiwe kizuri ila siyo nikifungie safari toka huko daah uongo.
......
Basi mimi huwezi amini ile njia ya darajani nayo nina zaidi ya mwaka sijaipita na siipendi sababu iko mbali kwangu ni kama nazunguka. Mixer foleni za ile misemi inayotoka na kuingia bandarini aahh mie ni mwendo wa pantoni tu shwaaa tayari.
Mjini mipango Dada, nipe location mwezi ujao nitakuwa napita kununua petrol ya elfu 5. Kwenye kidumu Cha Lita 5 ya boti.Hahah!
Sema huwa mnajua kujiongeza..mtu anakuja kuweka ya bei ndogo halafu anaomba risiti ya bei kubwa aende nayo kumpiga mtu cha juu.
Wa hivi hawanaga shida,akija ni stori mnacheka kwa kwenda mbele,huku mkimtafutia risiti ya hela kubwa kwenye kapu la taka.
Karibu sanaMjini mipango Dada, nipe location mwezi ujao nitakuwa napita kununua petrol ya elfu 5. Kwenye kidumu Cha Lita 5 ya boti.
"Hii nchi bhana wanaowaambia vijana wajiajiri nao wameajiriwa hawataki kuachia ngazi na bado wanawachomeka watoto wao na ndugu zao kwenye system". Alisikika kijana mmoja jobless asiye na mtaji.Maana viongozi wanakaa wanawashangaa vijana ambao hatuna ajira..wanasema jiajirini ila mitaji hakuna na wanasema hakuna hela za kutosha kuwapa mitaji.
Kuna mdau[emoji23]akasema kama vipi watukusanye tu watupige mnada nchi za nje kama mbolea.
Wanapigana vijembe usiku na mchana wanatafutana kisa uongozi,ila wanasema vijana jiajirini."Hii nchi bhana wanaowaambia vijana wajiajiri nao wameajiriwa hawataki kuachia ngazi na bado wanawachomeka watoto wao na ndugu zao kwenye system". Alisikika kijana mmoja jobless asiye na mtaji.
Amen [emoji4][emoji4]Nitakuja mimi kukusalimia
Nchi ngumu hii [emoji1][emoji1]Wanapigana vijembe usiku na mchana wanatafutana kisa uongozi,ila wanasema vijana jiajirini.
"Ni maneno ya kajobless kamoja hivi baada ya kunyooshwa na kitaa[emoji23][emoji23][emoji23]"
Jamaa una utani wa pistol, sio hata ngumi[emoji847]Kuna mwenzio anamuendeshaga mputa mputaa....joking
Akaamua kulinda receptionHa ha ha hatuwaamini! Ikitokea hatari unaweza kuachia usukani ukaficha USO!
Na nyie huwa mnauza risiti. Mara nyingi huwa wananiomba risiti zangu za full tank! Nawaambia gari ya Muhindi lazima niipeleke hii.Hahah!
Sema huwa mnajua kujiongeza..mtu anakuja kuweka ya bei ndogo halafu anaomba risiti ya bei kubwa aende nayo kumpiga mtu cha juu.
Wa hivi hawanaga shida,akija ni stori mnacheka kwa kwenda mbele,huku mkimtafutia risiti ya hela kubwa kwenye kapu la taka.
Pantoni hili hili na mateso yake yote?Siyo hatuna upendo tatizo foleni za hilo jiji. Zamani wakati bado kula kulala nilikuwa na muda wa kufunga safari from Tegeta to Tabata ili tu nikatafute kijiwe kipya cha kula na kunywa nilikuwa siwazi kuhusu foleni maana sina pa kuwahi.
......
Tangu maisha yawe magumu huo utoto nimeacha asee kwenda sehemu ni hadi kuwe na jambo la msingi la kunipeleka. Nikimaliza kilichonipeleka ndiyo nitaangalia kama kuna kijiwe kizuri ila siyo nikifungie safari toka huko daah uongo.
......
Basi mimi huwezi amini ile njia ya darajani nayo nina zaidi ya mwaka sijaipita na siipendi sababu iko mbali kwangu ni kama nazunguka. Mixer foleni za ile misemi inayotoka na kuingia bandarini aahh mie ni mwendo wa pantoni tu shwaaa tayari.
Hatuuzi😇,tunatafuta tu zilizopo maana siyo wote huchukua risiti.Na nyie huwa mnauza risiti. Mara nyingi huwa wananiomba risiti zangu za full tank! Nawaambia gari ya Muhindi lazima niipeleke hii.