ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 7,845
- 16,942
Kwanini mtu anaacha risiti, hasa kubwa kubwa sheli? Watu hawapigi hesabu?Hahah!
Sema huwa mnajua kujiongeza..mtu anakuja kuweka ya bei ndogo halafu anaomba risiti ya bei kubwa aende nayo kumpiga mtu cha juu.
Wa hivi hawanaga shida,akija ni stori mnacheka kwa kwenda mbele,huku mkimtafutia risiti ya hela kubwa kwenye kapu la taka.
Dah mimi siwezi kumuomba mteja risiti yake😁Za full tank nyingi haziachwi, mnaziomba kuwauzia madereva wakawapige matajiri wao.
Linahitaji timing. Ziko tatu kama zote zinafanya kazi hata ukiwa hapo Utumishi wa umma unavuka haraka sana. ILA ukute moja wamelipumzisha halafu kuna meli zinapita utajua kuwa Kigamboni ni ZanzibarPantoni hili hili na mateso yake yote?
Jana jioni nimetoka kugeuza pale chuo cha ustawi maana foleni ya pantoni ilifika kule, nikageuka mpaka darajani na nikafika muda sawa na aliyevuka kwa miguu
Mwezi uliopita nilispend 2 hours kuvuka pale na pantoni
Labda wewe unaliotea mida yake unavuka shwaap, ila mimi kwangu limelaanika lile dude
Unakuta kule juu tank limekauka likaoza likatoboka. Akijaza mengi yatavujaSiku mpe ofa hata ya nusu Tanki, nadhani gari itagoma kuondoka maana haijazoea.
Kuna watu hawajali,anaiacha tu.Kwanini mtu anaacha risiti, hasa kubwa kubwa sheli? Watu hawapigi hesabu?
Mimi mlokole🙂Wenzio wengi ndio deal zao hizo.
[emoji1787][emoji1787] wabongo tunajua sana kupiga.Na nyie huwa mnauza risiti. Mara nyingi huwa wananiomba risiti zangu za full tank! Nawaambia gari ya Muhindi lazima niipeleke hii.
Sasa hao wanaoomba ndio mnawauzia oooops wenzio wanawauziaKuna watu hawajali,anaiacha tu.
Mwingine unampa kabisa anakwambia la nini sasa hilo karatasi!
Sasa hizo za elfu 50,40 na 30 huwa ni nyingi..mtu anajaza mafuta ya elfu 10 anaomba risiti ya elfu 50.
Hamna bana tunawapa bure😂,Sasa hao wanaoomba ndio mnawauzia oooops wenzio wanawauzia
Upigaji kila eneo[emoji1787][emoji1787] wabongo tunajua sana kupiga.
Kila mtu anakula aliko
Timing tuwaachie wazoefu. Acha nivukie darajani tu. Muda sio mrefu jamaa wa nyuma yangu kapigwa tochi pale darajani [emoji1787][emoji1787] wako pande zote mbili ukishavukaLinahitaji timing. Ziko tatu kama zote zinafanya kazi hata ukiwa hapo Utumishi wa umma unavuka haraka sana. ILA ukute moja wamelipumzisha halafu kuna meli zinapita utajua kuwa Kigamboni ni Zanzibar
Na wengine wanakujaga kuchukua(nunua) furushi zima lile la risiti.Mtu gari ya kampuni anapewa 100,000 anaweka mafuta 60,000 anaomba risiti ya 100,000 anapeleka ofisini.
Mmh hapana.Na wengine wanakujaga kuchukua(nunua) furushi zima lile la risiti.
Nadhani ritani za kodi zinahusika
Deficit ya zaidi ya lita 15 hiyo. Anaicover vipi?Mtu gari ya kampuni anapewa 100,000 anaweka mafuta 60,000 anaomba risiti ya 100,000 anapeleka ofisini.
A wapiTunajua deal zenu
Kikubwa ana risiti ya mafuta ya hela aliyopewa.Deficit ya zaidi ya lita 15 hiyo. Anaicover vipi?
Mchaji hata buku, service charge ya kumtafutia na kumtunzia. Si dhambi [emoji1787]Hamna bana tunawapa bure[emoji23],
Sasa nampaje mtu risiti iliyo kwenye kapu la taka??
Sema itanipa tu shida kuitafuta hadi kuipata na wateja kama wapo wengi basi itabidi apambane na hali yake kuitafuta.