Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Sasa kwanini usimchaji ilhali unajua ni kazi?

Na unakuwa unazitunza kabisa mahala special, risiti za kuanzia elf30 kupanda juu...

Kwa siku wangapi wanaomba risiti?
Zote zinadondokea mule kwenye kapu pale,,zinachanganyikana.

Mimi mzungu wa roho😂,,,afu si unajua kazi ya kufanya mara moja moja haichoshi.
 
Duuh mbona mimi sijawahi kukuta foleni ya kukaa muda wote huo? Basi itakuwa kweli nalioteaga tu!

Ni kama mimi ninavyowashangaa wanaoiotea njia ya daraja ikiwa haina foleni. Mimi lazima nikute foleni ya malori asee.

Maana mie nilishawahi kuspend more than two hours kwenye barabara inayoenda kwenye lile daraja daah sina hamu tena.
 
Usipite bandarini,pita uhasibu. Ndio njia yangu kila siku. Pantoni ni second option.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…