Pengine ndiyo maana hatuendelei hii nchi! We are soo unethical when it comes to money! Sasa hii inaenda hadi kwa viongozi wakubwa serikalini!Mtu gari ya kampuni anapewa 100,000 anaweka mafuta 60,000 anaomba risiti ya 100,000 anapeleka ofisini.
Sasa hivi MV Kigamboni liko poa. MV Kazi imekuwa kimeo. Jembe MV Magogoni tu.Duuh hilo MV Kigamboni silioteagi kulipanda. Mara nyingi mie nayakutaga MV Magogoni na MV Kazi, hilo linaonekana bovu tayari lishachoka sema kuna siku wanalilazimisha tu, hayo mengine mawili mbona yanapiga kazi fresh tu.
BMW iX Flow.Linaitwaje Mkuu
Mbweni si ndo kule mvua ikinyesha wote mnahama kwa muda?Haha njoo basi wewe unitembelee. Mie home Geza ya Mbweni.
Oohh bora kama wamelitengeneza maana kuna kipindi nilikuwaga silioni kila nikifika nakuta Magogoni na Kazi tu ndiyo zinapishana. Halafu mimi kila mara lazima nijikute natumbukia Magogoni hilo Kazi ni kama linanikwepa hivi haha.Sasa hivi MV Kigamboni liko poa. MV Kazi imekuwa kimeo. Jembe MV Magogoni tu.
Duuh nimelicheck asee liko vyedi hasa show ya mbele Vents za kibabe. On top of that nimefurahi kuwa ni SUV.BMW iX Flow.
Change your car's colour with an app: BMW unveils colour-changing car
German carmaker BMW has unveiled the world's first "colour-changing" car at the Consumer Electronics Show (CES) in Las Vegas.www.reuters.com
Hahaa umenichekesha mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbweni si ndo kule mvua ikinyesha wote mnahama kwa muda?
Au sio huko? Juzi nimeambiwa kiwanja sqm 1 = 15k.
Extrovert yupo majukwaani huko tunakutana naye..ila hajaingia tu humu...ndiyo maana hajauliziwa.Tumeuanza mwaka Ila kuna mtu sioni ski comment siku hizi. Bwana Extrovert kimya mno. Ingekua ni bwana RRONDO angesha tafutwa Kwa udi na uvumbe na hizi pic Kali.
Mm nilipata mzinga mwaka Jana nikapotea muda mrefuuu hakuna ATA alie ulizia hehe. Tumshukuru mungu tuko hai. Binafsi nimeuona uwepo wa mungu. Tukumbukane thou hatufahamiani.View attachment 2076423
15 k kwa 1m²??Mbweni si ndo kule mvua ikinyesha wote mnahama kwa muda?
Au sio huko? Juzi nimeambiwa kiwanja sqm 1 = 15k.
Kuna watu wanacheza na maji maishani.Tuweni serious. Hapa unaanza kujiuliza ulikata bima comprehensive au third party
View attachment 2076032
Pole sana. Extrovert yupo anachangia nyuzi nyingine kama kawaida. Pole tena kwa ajali natumaini uko poa sasa hivi.Tumeuanza mwaka Ila kuna mtu sioni ski comment siku hizi. Bwana Extrovert kimya mno. Ingekua ni bwana RRONDO angesha tafutwa Kwa udi na uvumbe na hizi pic Kali.
Mm nilipata mzinga mwaka Jana nikapotea muda mrefuuu hakuna ATA alie ulizia hehe. Tumshukuru mungu tuko hai. Binafsi nimeuona uwepo wa mungu. Tukumbukane thou hatufahamiani.View attachment 2076423
Duh mkuu pole sana kwa ajali mbaya...mie nipo mkuu, heri ya mwaka mpya mkuuTumeuanza mwaka Ila kuna mtu sioni ski comment siku hizi. Bwana Extrovert kimya mno. Ingekua ni bwana RRONDO angesha tafutwa Kwa udi na uvumbe na hizi pic Kali.
Mm nilipata mzinga mwaka Jana nikapotea muda mrefuuu hakuna ATA alie ulizia hehe. Tumshukuru mungu tuko hai. Binafsi nimeuona uwepo wa mungu. Tukumbukane thou hatufahamiani.View attachment 2076423
Kiongozi kuna ground ya 12,000+ sqm Dodoma iko sokoni kama utakuwa interested au una jamaa anayependa uwekezaji tuchekiane for business. Kiwanja kiko maeneo jirani na chuo cha mipango.15,000 per SQM ni bei ya kawaida sana. Nijuacho Mbweni imegawanyika sana.
Hii imetokea lini? Maji naogopa sana na ndio hiko kinanifanya sipendi kuishi kigamboniKuna watu wanacheza na maji maishani.
Kila mtu ni mlafi wa pesa ila hii imechangiwa na viongozi wa taifa kukosa weledi! Na wao ndio wame endorse hii tabia kwa watu wa chini yao.Pengine ndiyo maana hatuendelei hii nchi! We are soo unethical when it comes to money! Sasa hii inaenda hadi kwa viongozi wakubwa serikalini!
Balaa hiloTuweni serious. Hapa unaanza kujiuliza ulikata bima comprehensive au third party
View attachment 2076032
12,000sqm hio ni kama heka 2.5 hivi. Nitakujulisha nikipata mtuKiongozi kuna ground ya 12,000+ sqm Dodoma iko sokoni kama utakuwa interested au una jamaa anayependa uwekezaji tuchekiane for business. Kiwanja kiko maeneo jirani na chuo cha mipango.