Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Mkuu pole sana kwa ajali uliyopata, na Asante kwa Muumba kwa kukuweka hai.
 
Ntaenda kuangalia kama ni kuzuri nachukua kimoja chap. Nimeambiwa ni 1.5 km toka baharini.
 
Pole mkuu.

Mzinga kama huu sio wa kitoto.

Ila mara nyingi wale wanaouliziwa utakuta wanafahamiana na wadau wengine nje ya jukwaa.

Sasa ukikaa kijeshi kama mimi, siku ukipotea ni ngumu kuuliziwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…