Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Tumeuanza mwaka Ila kuna mtu sioni ski comment siku hizi. Bwana Extrovert kimya mno. Ingekua ni bwana RRONDO angesha tafutwa Kwa udi na uvumbe na hizi pic Kali.

Mm nilipata mzinga mwaka Jana nikapotea muda mrefuuu hakuna ATA alie ulizia hehe. Tumshukuru mungu tuko hai. Binafsi nimeuona uwepo wa mungu. Tukumbukane thou hatufahamiani.View attachment 2076423
Mkuu pole sana kwa ajali uliyopata, na Asante kwa Muumba kwa kukuweka hai.
 
Hahaa umenichekesha mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Yeah kuna maeneo mvua zikinyesha hapatamaniki mfano kule kwa kina Halima Mdee wanakuita sijui Moga sema siku hizi wameanza kuchimba mitaro.

Ila kule kwingine Jeshini, Usalama, Kwa Mama Samia, Teta, hadi kule Stendi mwisho wa lami kuko vizuri na watu wanazidi kuporomosha mijengo tu
Ntaenda kuangalia kama ni kuzuri nachukua kimoja chap. Nimeambiwa ni 1.5 km toka baharini.
 
Tumeuanza mwaka Ila kuna mtu sioni ski comment siku hizi. Bwana Extrovert kimya mno. Ingekua ni bwana RRONDO angesha tafutwa Kwa udi na uvumbe na hizi pic Kali.

Mm nilipata mzinga mwaka Jana nikapotea muda mrefuuu hakuna ATA alie ulizia hehe. Tumshukuru mungu tuko hai. Binafsi nimeuona uwepo wa mungu. Tukumbukane thou hatufahamiani.View attachment 2076423
Pole mkuu.

Mzinga kama huu sio wa kitoto.

Ila mara nyingi wale wanaouliziwa utakuta wanafahamiana na wadau wengine nje ya jukwaa.

Sasa ukikaa kijeshi kama mimi, siku ukipotea ni ngumu kuuliziwa.
 
Back
Top Bottom