Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Pole sana kiongozi kwa ajali iliyokupata na natumai unaendelea vzr na nitafurahi nikijua kuwa wewe si uliesababisha hiyo ajali......kwani Wana road trip tunashauriana kuendesha kwa furaha ,kufuata n kutii sheria za barabarani .Mungu ni mwema
 
Extrovert yupo majukwaani huko tunakutana naye..ila hajaingia tu humu...ndiyo maana hajauliziwa.

Pole sana kwa ajali mkuu,,
Next time ukiadimika tunaahidi tutakutafuta kwa nguvu zote.

Mungu wa Mbinguni akulinde[emoji120]
Halafu Extrovert akipotea tunajua tu tayari keshachezea ban. Ila RRONDO akipotea anapotea mazima humuoni hata kwenye majukwaa mengine ndiyo maana inabidi tuulize.
 
Pole sana mkuu natumai unaendelea vizuri. Uwe unajichanganya na watu sasa ili wawe wanakuulizia, maana mbona wengi tunapoteaga na hatuuliziwi na hatujawahi kulalamika, sikuwahi jua kama kuuliziwa na watu wa jf ni deal hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…