Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Sidhani kama huyo dereva anahisi hivyo kwasababu ameshazoea hiyo setting. Ukimtoa kwenye hiyo gari kwa muda mrefu let say 6 months, ukimrudisha ndo ataona tofauti. Ila kwasasa sio rahisi.

Ila wewe ukiigusa hiyo gari ndo utaona hilo tatizo.
 
Kuna sehemu nilisoma wanasema kubadili ile battery pack ya tesla, gharama yake ni almost 50% ya thamani ya gari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…