Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
LC300 ipo mjinini humu.. kuna Porsche panamera.. noma tupu.. tukazane tuJamani juzi Moshi nimeona Harrier Anaconda hybrid ya 2021 kuna watu jeuri sana humu mjini
Nishaendesha nissan pickup td42 imekata center bolt. Njia nzima hutulii unapambana kuliweka mstarini.Hivi ni mara ngapi ushaona gari ya mbele yako inaenda upande? Yaani matairi na body vina uelekeo tofauti. Mara nyingi sana nimeona GX100,Brevis,Harrier tako la nyani. Yaani inaendda upande upande. Hivi dereva anakuwa hajui? Gari haimvuti upande mmoja? Gari inayonishangaza nayo ni LC mkonga,naona kama haijanyooka hivi.
ISO M.CodD 9.8ms squared Bavaria Boeing 747 Extrovert
Umemkuta kipini?Saint Anne nimechangamkiwa mpaka nimeacha chenji, eti akanywe maji.
Nitarudi.
View attachment 2079443
Duh hii sasa sifa! Hadi imepita mshale wa F 😀😀😀😀Saint Anne nimechangamkiwa mpaka nimeacha chenji, eti akanywe maji.
Nitarudi.
View attachment 2079443
😀😀😀 akikutana na wanyama sijui atasemajeKazi ipo
Nakazana sana kusaka pesa asee.. humu mjini kuna watu hadi wana G-Wagon latest kabisaa.. naona kama nafanya utani.. uhalisia kama unataka chuma.. mezani tenga kuanzia 150+million kidogo unaweza paka gari mahala umevimba kichwaIla sio utani,watu wamejiachia! Kuna vyuma vya hatari hapa mjini! Hizi RR zimeanza kuzagaa kama utani! Zile za 2014 kuja mbele hadi 2020!
Gari ni power steering mbovu ndio hupelekea kuvuta upande mmoja au bad suspension setup,tyres and allignment.Hivi ni mara ngapi ushaona gari ya mbele yako inaenda upande? Yaani matairi na body vina uelekeo tofauti. Mara nyingi sana nimeona GX100,Brevis,Harrier tako la nyani. Yaani inaendda upande upande. Hivi dereva anakuwa hajui? Gari haimvuti upande mmoja? Gari inayonishangaza nayo ni LC mkonga,naona kama haijanyooka hivi.
ISO M.CodD 9.8ms squared Bavaria Boeing 747 Extrovert
Wabarikiwe sana watu wa humu,wametupa moto wa kumiliki gariWakuu namimi nimenunua gari, sasa namimi nitaanza road trip kwanza za ofisini, kanisani na nyumbani. Nipo nanyi humu toka day 1, comment kwa comment, ndio uzi ninaoufuatilia muda mrefu kuliko uzi wowote JF, nimejifunza mengi sana yahusuyo barabarani, kaka RRONDO barikiwa sana na wengine wote, asanteni sana
Gari ndogo zina centre bolt? Ninazizungumzia hapa ni gari ndogo, Gx100,Harrier etcGari ni power steering mbovu ndio hupelekea kuvuta upande mmoja au bad suspension setup,tyres and allignment.
Gari kwenda upande ni centre bolt case! Hio naonaga mi coaster mi lorry ndio inaendaga upande kama mende kakoswa koswa na lapa😅
Hahah!Duh hii sasa sifa! Hadi imepita mshale wa F 😀😀😀😀
Kwa huu mwezi kujaza mswaki sheli lazma upewe heko! Full bashasha ni jambo la kishujaa sana maana hio ni pesa ya bag na madaftari ya mtoto😅Saint Anne nimechangamkiwa mpaka nimeacha chenji, eti akanywe maji.
Nitarudi.
View attachment 2079443