Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Jamani juzi Moshi nimeona Harrier Anaconda hybrid ya 2021 kuna watu jeuri sana humu mjini
Watu wako vizuri mkuu
Kama hii?
1642075575475.png
1642075575475.png
 
Hivi ni mara ngapi ushaona gari ya mbele yako inaenda upande? Yaani matairi na body vina uelekeo tofauti. Mara nyingi sana nimeona GX100,Brevis,Harrier tako la nyani. Yaani inaendda upande upande. Hivi dereva anakuwa hajui? Gari haimvuti upande mmoja? Gari inayonishangaza nayo ni LC mkonga,naona kama haijanyooka hivi.
ISO M.CodD 9.8ms squared Bavaria Boeing 747 Extrovert
Nishaendesha nissan pickup td42 imekata center bolt. Njia nzima hutulii unapambana kuliweka mstarini.
 
Saint Anne nimechangamkiwa mpaka nimeacha chenji, eti akanywe maji.

Nitarudi.

View attachment 2079443
Umemkuta kipini?
Hahah! Yule dogo huwa ananikosha anavyoita gari..yaani full tabasamu.

Ukimkuta sasa anavyokokota bajaj na pikipiki🤣..bajaj ikizimia pale kabla haijaingia kwenye pump anakimbia mbio kwenda kusukuma🤣🤣
Sema amezidisha uchangamfu hadi mara nyingine huwa anasahau kuchukua hela ..kule ndani anajila 😁
 
Ila sio utani,watu wamejiachia! Kuna vyuma vya hatari hapa mjini! Hizi RR zimeanza kuzagaa kama utani! Zile za 2014 kuja mbele hadi 2020!
Nakazana sana kusaka pesa asee.. humu mjini kuna watu hadi wana G-Wagon latest kabisaa.. naona kama nafanya utani.. uhalisia kama unataka chuma.. mezani tenga kuanzia 150+million kidogo unaweza paka gari mahala umevimba kichwa
 
Hivi ni mara ngapi ushaona gari ya mbele yako inaenda upande? Yaani matairi na body vina uelekeo tofauti. Mara nyingi sana nimeona GX100,Brevis,Harrier tako la nyani. Yaani inaendda upande upande. Hivi dereva anakuwa hajui? Gari haimvuti upande mmoja? Gari inayonishangaza nayo ni LC mkonga,naona kama haijanyooka hivi.
ISO M.CodD 9.8ms squared Bavaria Boeing 747 Extrovert
Gari ni power steering mbovu ndio hupelekea kuvuta upande mmoja au bad suspension setup,tyres and allignment.

Gari kwenda upande ni centre bolt case! Hio naonaga mi coaster mi lorry ndio inaendaga upande kama mende kakoswa koswa na lapa😅
 
Wakuu namimi nimenunua gari, sasa namimi nitaanza road trip kwanza za ofisini, kanisani na nyumbani. Nipo nanyi humu toka day 1, comment kwa comment, ndio uzi ninaoufuatilia muda mrefu kuliko uzi wowote JF, nimejifunza mengi sana yahusuyo barabarani, kaka RRONDO barikiwa sana na wengine wote, asanteni sana
Wabarikiwe sana watu wa humu,wametupa moto wa kumiliki gari
 
Gari ni power steering mbovu ndio hupelekea kuvuta upande mmoja au bad suspension setup,tyres and allignment.

Gari kwenda upande ni centre bolt case! Hio naonaga mi coaster mi lorry ndio inaendaga upande kama mende kakoswa koswa na lapa😅
Gari ndogo zina centre bolt? Ninazizungumzia hapa ni gari ndogo, Gx100,Harrier etc
 
Back
Top Bottom