Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wakuu namimi nimenunua gari, sasa namimi nitaanza road trip kwanza za ofisini, kanisani na nyumbani. Nipo nanyi humu toka day 1, comment kwa comment, ndio uzi ninaoufuatilia muda mrefu kuliko uzi wowote JF, nimejifunza mengi sana yahusuyo barabarani, kaka RRONDO barikiwa sana na wengine wote, asanteni sana
Hongera sana mkuu, ukawe dereva anayeendesha kwa kujihami.
 
Wakuu namimi nimenunua gari, sasa namimi nitaanza road trip kwanza za ofisini, kanisani na nyumbani. Nipo nanyi humu toka day 1, comment kwa comment, ndio uzi ninaoufuatilia muda mrefu kuliko uzi wowote JF, nimejifunza mengi sana yahusuyo barabarani, kaka RRONDO barikiwa sana na wengine wote, asanteni sana
Hongera sana mkuu. Hata ukiwa mjini Jenga tabia ya kufuata sheria za barabarani. Heshimu taa na vibao vyote. Wengi wanaopata shida highway ni kwasababu wanaingia na huko na tabia mbaya walizozoea mjini.
 
Wakuu namimi nimenunua gari, sasa namimi nitaanza road trip kwanza za ofisini, kanisani na nyumbani. Nipo nanyi humu toka day 1, comment kwa comment, ndio uzi ninaoufuatilia muda mrefu kuliko uzi wowote JF, nimejifunza mengi sana yahusuyo barabarani, kaka RRONDO barikiwa sana na wengine wote, asanteni sana
Amin, lamba lami mkuu. Usalama kwanza
 
Back
Top Bottom