kijani11
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 8,113
- 8,610
Hongera sana mkuu, ukawe dereva anayeendesha kwa kujihami.Wakuu namimi nimenunua gari, sasa namimi nitaanza road trip kwanza za ofisini, kanisani na nyumbani. Nipo nanyi humu toka day 1, comment kwa comment, ndio uzi ninaoufuatilia muda mrefu kuliko uzi wowote JF, nimejifunza mengi sana yahusuyo barabarani, kaka RRONDO barikiwa sana na wengine wote, asanteni sana