Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Subaru Legacy dah tulienda Lushoto kumzika Kamanda Mohamedi Mtoi nikiwa na Kaka yangu MANI kwa masaa matatu na dakika 45....Wataalamu naombeni msaada juu ya hizi gari mbili
Kati ya Alteza na Subaru legacy ipi ni gari bora zaidi kwa mishe mishe za mjin namaanisha kuanzia bajeti ya kununua, ulaji wa mafuta, upatikanaji wa spea kwa bei nafuu na kuvumilia mikiki ya barabarani?? View attachment 2088874View attachment 2088873