Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wataalamu naombeni msaada juu ya hizi gari mbili
Kati ya Alteza na Subaru legacy ipi ni gari bora zaidi kwa mishe mishe za mjin namaanisha kuanzia bajeti ya kununua, ulaji wa mafuta, upatikanaji wa spea kwa bei nafuu na kuvumilia mikiki ya barabarani?? View attachment 2088874View attachment 2088873
Subaru Legacy dah tulienda Lushoto kumzika Kamanda Mohamedi Mtoi nikiwa na Kaka yangu MANI kwa masaa matatu na dakika 45....
 
Im sorry to say this lakini Bongo tunaishi tu ili mradi ndio maana ajali za hovyo hovyo ni nyingi.
Sure mkuu watu hawajali kabisa maana mtu anaweza kuwa anaendesha vizuri kwa kufuata sheria ila akaponzwa na wenzie wazembe wanaojifanya wajanja. Hawa ndiyo wanafanya mtu ulazimike kuendesha magari matatu kwa wakati mmoja.
 
Huwa nabaki kusema tuta hili kaweka mtu asie na gari @##__&&&& zake! Gari ikikwaruza hadi utumbo unageuka! Hadi tumejifunza trick ya kupanda kiupandeupande. ILA Dar-Arusha, Dar-Dom sijapita tuta lolote gari ikagusa chini. Kilikuwepo kituta kimoja kabla ya kuingia Korogwe ILA wamekitoa kilikuwa kama Gogo la mnazi!
Hahah kama hujanyanyua crown kila tuta lazma ukate mauno
 
Esther anawasalimia

20220118_164021.jpg
 
Back
Top Bottom