Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Subaru Legacy dah tulienda Lushoto kumzika Kamanda Mohamedi Mtoi nikiwa na Kaka yangu MANI kwa masaa matatu na dakika 45....
 
Im sorry to say this lakini Bongo tunaishi tu ili mradi ndio maana ajali za hovyo hovyo ni nyingi.
Sure mkuu watu hawajali kabisa maana mtu anaweza kuwa anaendesha vizuri kwa kufuata sheria ila akaponzwa na wenzie wazembe wanaojifanya wajanja. Hawa ndiyo wanafanya mtu ulazimike kuendesha magari matatu kwa wakati mmoja.
 
Hahah kama hujanyanyua crown kila tuta lazma ukate mauno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…