Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Hio njia huwa naweka cruise control at 50kph na matuta yote napita na 50kph na sedan. Matuta fulani friendly
vipande vyenye rasta za kutosha na pakiwa pamenyooka, huwa naona nikiwa mdogo mdogo kama naumiza gari, huwa natembea above ya 150km.. rim og na viatu vya kweli.. huwa hata sisikii nikiwa na speed hiyo
 
Na wameweka matuta na Rasta za kutosha 😂 wakati ilitakiwa ukiwa pale Tengeru unateleza tu shaaaa walau mpaka maeneo ya philips
Hio njia huwa naweka cruise control at 50kph na matuta yote napita na 50kph na sedan. Matuta fulani
Hili zege au vumbi?😎
vipande vyenye rasta za kutosha na pakiwa pamenyooka, huwa naona nikiwa mdogo mdogo kama naumiza gari, huwa natembea above ya 150km.. rim og na viatu vya kweli.. huwa hata sisikii nikiwa na speed hiyo
Rasta ukipita taratibu hata wewe utahisi gari inaumia, dawa yake kuosha tu. Ila jaribu kufungua kioo usikie mlio wa tairi ukipiga rasta!
 
hahaha! Kufungua dirisha upo kwenye above ya 150+ ni ngumu.. huwa naosha tu kama hakuna kitu
 
Ukishakula vumbi lililoshindiliwa na tanroads kilomita karibu 50 ndio unakutana na mkeka wa zege unakupooza machungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…