Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila gari Lina balaa lake
😊😊😊 kanifurahisha tu chief, hana pressure na dancing yakeKila gari Lina balaa lake
Wakuu hivi VW Teramont/Atlas mbona naona kama siyo famous na hazina soko sana huku Bongo shida nini siyo nzuri ama? Maana Rwanda hapo wana plant ya kuassemble magari ya VW na naona kama Teramont kwao kidogo ni famous na zina soko na hata Kagame mwenyewe kuna picha niliwahi muona nalo moja!RRONDO 9.8ms squared Extrovert Karma Bavaria Buyengwa mtongwe Watu8
VW Amarok hii itazinduliwa karibuni Kwa Mandela
![]()
New Volkswagen Amarok global launch to take place in South Africa
Volkswagen has confirmed that the world premiere of the new Amarok will take place in South Africa:www.iol.co.za
Soko lipi? Hili la magari ya miaka 15 iliopita? Soko la magari mapya Tz bado dogo sana.Wakuu hivi VW Teramont/Atlas mbona naona kama siyo famous na hazina soko sana huku Bongo shida nini siyo nzuri ama? Maana Rwanda hapo wana plant ya kuassemble magari ya VW na naona kama Teramont kwao kidogo ni famous na zina soko na hata Kagame mwenyewe kuna picha niliwahi muona nalo moja!
Hii gari ya miaka ya karibuni wanunuzi ni Mashirika, taasisi au Watu wachache wenye High income.Wakuu hivi VW Teramont/Atlas mbona naona kama siyo famous na hazina soko sana huku Bongo shida nini siyo nzuri ama? Maana Rwanda hapo wana plant ya kuassemble magari ya VW na naona kama Teramont kwao kidogo ni famous na zina soko na hata Kagame mwenyewe kuna picha niliwahi muona nalo moja!
Gari mpya + TRA maumivu ya kichwa 😎Soko lipi? Hili la magari ya miaka 15 iliopita? Soko la magari mapya Tz bado dogo sana.
Makatili sana wale ma zakayooHii gari ya miaka ya karibuni wanunuzi ni Mashirika, taasisi au Watu wachache wenye High income.
Na Kwa Taarifa mbaya haipo kwenye kikokotoo Cha watoza ushuru sije mtu akaagiza Chuma unakuja kupewa Quotation ya Kodi ambayo ni gharama ya kuzinunua hizo gari 2.
Hahaaa bado tunapambana na magari yenye mileage kama mshahara wa mtu. Hizi zinaonekana ziko Vizuri sana sema tusubiri hadi 2030 huko ndiyo tutaona bongo watu wanaanza kujikongoja nazo maana ndiyo kwanza zimezaliwa 2017 sijui ila Rwanda tu hapo tayari wanazo na wanaziassemble kabisa.Soko lipi? Hili la magari ya miaka 15 iliopita? Soko la magari mapya Tz bado dogo sana.
Haha si ndiyo zao Wazee wa Tax = Price × 2 [emoji28][emoji28]Hii gari ya miaka ya karibuni wanunuzi ni Mashirika, taasisi au Watu wachache wenye High income.
Na Kwa Taarifa mbaya haipo kwenye kikokotoo Cha watoza ushuru sije mtu akaagiza Chuma unakuja kupewa Quotation ya Kodi ambayo ni gharama ya kuzinunua hizo gari 2.
Kuna jamaa yangu Baharia alikuwa German alipokuja Bongo Hiyo VW Atlas ilikuwa kwenye mpango wake baada ya kufatilia sana, akachukua zake Discovery 4 kupunguza mambo kuwa mengi.Makatili sana wale ma zakayoo
Wangemmaliza, mwisho wa siku wakaipiga gari mnada.. TRA washenzi sanaKuna jamaa yangu Baharia alikuwa German alipokuja Bongo Hiyo VW Atlas ilikuwa kwenye mpango wake baada ya kufatilia sana, akachukua zake Discovery 4 kupunguza mambo kuwa mengi.
Nusu ya gari ni bonnet? Lina inline 6 ama kwanini engine bay kubwa hivyo?
V8 twin turbo hybrid with electric motor.Nusu ya gari ni bonnet? Lina inline 6 ama kwanini engine bay kubwa hivyo?
Mkubwa mpishe apiteV8 twin turbo hybrid with electric motor.
750hp and 1000nm of torque.
Kuna jamaa wa TRA aliwahi kuniambua kwamba unaweza kupewa tax assessment kwa gari ambalo halimo kwenye ‘calculator’ yao, kwa kupiga hesabu kutokana na gharama halisi ulizonunulia gari. Ila itabidi uwe na ushahidi wa tangazo halisi la hilo gari (kwenye mtandao) na bei yake. Sijawahi kufanya hivi lakini. Sijui kama ni kweli!!Wangemmaliza, mwisho wa siku wakaipiga gari mnada.. TRA washenzi sana
Mara zote huwa wana maneno mazuri sana ila lete hio gari na ushahidi wako watakwambia sio sahihi na kukupa assessment Yao.Kuna jamaa wa TRA aliwahi kuniambua kwamba unaweza kupewa tax assessment kwa gari ambalo halimo kwenye ‘calculator’ yao, kwa kupiga hesabu kutokana na gharama halisi ulizonunulia gari. Ila itabidi uwe na ushahidi wa tangazo halisi la hilo gari (kwenye mtandao) na bei yake. Sijawahi kufanya hivi lakini. Sijui kama ni kweli!!
TRA acha tu, bado wana mambo ya kijima sana. Hata ma ushuru wanayo toza sasa hivi ni kama wana dublicate, nchi haiwezi kwenda bila kodi katika mifumo inayo balance, ila wao wanaondoka kabisa balance yani wanakua wanaumiza watuKuna jamaa wa TRA aliwahi kuniambua kwamba unaweza kupewa tax assessment kwa gari ambalo halimo kwenye ‘calculator’ yao, kwa kupiga hesabu kutokana na gharama halisi ulizonunulia gari. Ila itabidi uwe na ushahidi wa tangazo halisi la hilo gari (kwenye mtandao) na bei yake. Sijawahi kufanya hivi lakini. Sijui kama ni kweli!!