Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

RRONDO 9.8ms squared Extrovert Karma Bavaria Buyengwa mtongwe Watu8
VW Amarok hii itazinduliwa karibuni Kwa Mandela

Wakuu hivi VW Teramont/Atlas mbona naona kama siyo famous na hazina soko sana huku Bongo shida nini siyo nzuri ama? Maana Rwanda hapo wana plant ya kuassemble magari ya VW na naona kama Teramont kwao kidogo ni famous na zina soko na hata Kagame mwenyewe kuna picha niliwahi muona nalo moja!
 
Soko lipi? Hili la magari ya miaka 15 iliopita? Soko la magari mapya Tz bado dogo sana.
 
Hii gari ya miaka ya karibuni wanunuzi ni Mashirika, taasisi au Watu wachache wenye High income.

Na Kwa Taarifa mbaya haipo kwenye kikokotoo Cha watoza ushuru sije mtu akaagiza Chuma unakuja kupewa Quotation ya Kodi ambayo ni gharama ya kuzinunua hizo gari 2.
 
Hahaaa bado tunapambana na magari yenye mileage kama mshahara wa mtu. Hizi zinaonekana ziko Vizuri sana sema tusubiri hadi 2030 huko ndiyo tutaona bongo watu wanaanza kujikongoja nazo maana ndiyo kwanza zimezaliwa 2017 sijui ila Rwanda tu hapo tayari wanazo na wanaziassemble kabisa.
 
Hii gari ya miaka ya karibuni wanunuzi ni Mashirika, taasisi au Watu wachache wenye High income.

Na Kwa Taarifa mbaya haipo kwenye kikokotoo Cha watoza ushuru sije mtu akaagiza Chuma unakuja kupewa Quotation ya Kodi ambayo ni gharama ya kuzinunua hizo gari 2.
Haha si ndiyo zao Wazee wa Tax = Price × 2 [emoji28][emoji28]
 
bmw-xm-concept-02-1638201104.jpg

2023 BMW XM
 
Wangemmaliza, mwisho wa siku wakaipiga gari mnada.. TRA washenzi sana
Kuna jamaa wa TRA aliwahi kuniambua kwamba unaweza kupewa tax assessment kwa gari ambalo halimo kwenye ‘calculator’ yao, kwa kupiga hesabu kutokana na gharama halisi ulizonunulia gari. Ila itabidi uwe na ushahidi wa tangazo halisi la hilo gari (kwenye mtandao) na bei yake. Sijawahi kufanya hivi lakini. Sijui kama ni kweli!!
 
Mara zote huwa wana maneno mazuri sana ila lete hio gari na ushahidi wako watakwambia sio sahihi na kukupa assessment Yao.
 
Kuna jamaa wa TRA aliwahi kuniambua kwamba unaweza kupewa tax assessment kwa gari ambalo halimo kwenye ‘calculator’ yao, kwa kupiga hesabu kutokana na gharama halisi ulizonunulia gari. Ila itabidi uwe na ushahidi wa tangazo halisi la hilo gari (kwenye mtandao) na bei yake. Sijawahi kufanya hivi lakini. Sijui kama ni kweli!!
TRA acha tu, bado wana mambo ya kijima sana. Hata ma ushuru wanayo toza sasa hivi ni kama wana dublicate, nchi haiwezi kwenda bila kodi katika mifumo inayo balance, ila wao wanaondoka kabisa balance yani wanakua wanaumiza watu
 
Back
Top Bottom