OnePlus Nord CE
Senior Member
- Feb 5, 2019
- 176
- 347
Dah inaelekea Barabara Haina magari.Nimepaki hapa dakika 20. Imepita Toyota Progres moja imeiva vibaya mno. Ndio gari pekee iliyopita hapa muda wote huo.
Kuna kimeo nakisolve then nianze trip kuupanda mlima
View attachment 2094113
Mwanga bado upo. 20km of pure funDah inaelekea Barabara Haina magari.
Kama unaweza Leo ungelala tu kesho asubuh ndo upande mlima, utalii vizuri Tanganyika yetu[emoji23]
Wapi hapo?Nimepaki hapa dakika 20. Imepita Toyota Progres moja imeiva vibaya mno. Ndio gari pekee iliyopita hapa muda wote huo.
Kuna kimeo nakisolve then nianze trip kuupanda mlima
View attachment 2094113
Hivi ushawahi kupanda Lushoto? Fun to drive aisee Mjerumani alifanya kitu amazing kujenga ile barabara vinginevyo kungekuwa kama upareni kule juu ni vituko tu.Ukishakula vumbi lililoshindiliwa na tanroads kilomita karibu 50 ndio unakutana na mkeka wa zege unakupooza machungu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan nmecheka huku nasikitika, ndo ufundi huyo ajari kazini, mie nusu nigonge gori, maan nilikua nafunzwa ktk uwanja wa mpira. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilishagapoa mdogo wangu [emoji1][emoji1]
Sijawahi kupanda huko mkuu ila umepasifia sana so nimeweka kwenye radarHivi ushawahi kupanda Lushoto? Fun to drive aisee Mjerumani alifanya kitu amazing kujenga ile barabara vinginevyo kungekuwa kama upareni kule juu ni vituko tu.
Hii ni barabara ya Njombe Ludewa...Mashamba ya chai barabara ya Njombe -Ludewa, kuelekea ziwa Nyasa.
Kuna mlima mmoja wameweka barabara ya zege wachina sasahivi, yani uko kama test tracks. Kona za kutosha kupima stability na straights za kutosha kupima msuli. Plus adrenaline junkies unawafaa maana kona zake japo ni pana ila kuna points nyingi tu ambazo ukikosea unaporomoka.
Naifananisha kwa utamu na ile ya Dodoma Babati, hasa mle mlimani ila hii pana zaidi na ina kona kali mithili ya Nyangoro.
Hii nchi tamu sana, pigeni trip wakuu
View attachment 2092718
Ukiwa unarudi simama hapo MADOPE zege linapoaanzia ukitokea njombe..Nimepaki hapa dakika 20. Imepita Toyota Progres moja imeiva vibaya mno. Ndio gari pekee iliyopita hapa muda wote huo.
Kuna kimeo nakisolve then nianze trip kuupanda mlima
View attachment 2094113
Maximum speed what? Hayo ni matumizi mabovu ya hili zege mkuuHii ni barabara ya Njombe Ludewa...
Zege linaanzia pale LUSITU/MADOPE ni kama km 50 hv na bado ipo kwenye ujenzi.
Zile kona si za kukimbiza gari utajikuta korongoni....
Ni 3 lane but ni hatari.
Maximum speed nadhani utafika 80 tu tena ni hatari.....
Unatunza vizuri mno gari!Chuma cha Mjapan speedometer imeacha kusoma at 250,000kmView attachment 2095425View attachment 2095427
Ndio nilikuwa narudi jana nikapiga hizo picha.Ukiwa unarudi simama hapo MADOPE zege linapoaanzia ukitokea njombe..
Ila kule mbele barabara ni mbaya sana kama unaelekea ludewa. Kokoto za kutosha...
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Utauza zote ila hilo hapanaHii gari naipenda sana acha tu
Cresta?Chuma cha Mjapan speedometer imeacha kusoma at 250,000kmView attachment 2095425View attachment 2095427
Ishu ndogo hiyo, cable imekatika, badilishaChuma cha Mjapan speedometer imeacha kusoma at 250,000kmView attachment 2095425View attachment 2095427