Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Nimepaki hapa dakika 20. Imepita Toyota Progres moja imeiva vibaya mno. Ndio gari pekee iliyopita hapa muda wote huo.

Kuna kimeo nakisolve then nianze trip kuupanda mlima

View attachment 2094113
Dah inaelekea Barabara Haina magari.
Kama unaweza Leo ungelala tu kesho asubuh ndo upande mlima, utalii vizuri Tanganyika yetu😂
 
Dah inaelekea Barabara Haina magari.
Kama unaweza Leo ungelala tu kesho asubuh ndo upande mlima, utalii vizuri Tanganyika yetu[emoji23]
Mwanga bado upo. 20km of pure fun

20220124_182131.jpg
 
Mashamba ya chai barabara ya Njombe -Ludewa, kuelekea ziwa Nyasa.

Kuna mlima mmoja wameweka barabara ya zege wachina sasahivi, yani uko kama test tracks. Kona za kutosha kupima stability na straights za kutosha kupima msuli. Plus adrenaline junkies unawafaa maana kona zake japo ni pana ila kuna points nyingi tu ambazo ukikosea unaporomoka.

Naifananisha kwa utamu na ile ya Dodoma Babati, hasa mle mlimani ila hii pana zaidi na ina kona kali mithili ya Nyangoro.

Hii nchi tamu sana, pigeni trip wakuu

View attachment 2092718
Hii ni barabara ya Njombe Ludewa...

Zege linaanzia pale LUSITU/MADOPE ni kama km 50 hv na bado ipo kwenye ujenzi.

Zile kona si za kukimbiza gari utajikuta korongoni....

Ni 3 lane but ni hatari.

Maximum speed nadhani utafika 80 tu tena ni hatari.....
 
Nimepaki hapa dakika 20. Imepita Toyota Progres moja imeiva vibaya mno. Ndio gari pekee iliyopita hapa muda wote huo.

Kuna kimeo nakisolve then nianze trip kuupanda mlima

View attachment 2094113
Ukiwa unarudi simama hapo MADOPE zege linapoaanzia ukitokea njombe..

Ila kule mbele barabara ni mbaya sana kama unaelekea ludewa. Kokoto za kutosha...
 
Hii ni barabara ya Njombe Ludewa...

Zege linaanzia pale LUSITU/MADOPE ni kama km 50 hv na bado ipo kwenye ujenzi.

Zile kona si za kukimbiza gari utajikuta korongoni....

Ni 3 lane but ni hatari.

Maximum speed nadhani utafika 80 tu tena ni hatari.....
Maximum speed what? Hayo ni matumizi mabovu ya hili zege mkuu

Screenshot_20220125-200220_Gallery.jpg
 
Ukiwa unarudi simama hapo MADOPE zege linapoaanzia ukitokea njombe..

Ila kule mbele barabara ni mbaya sana kama unaelekea ludewa. Kokoto za kutosha...
Ndio nilikuwa narudi jana nikapiga hizo picha.

Hapo zege linapoanzia kuna view tamu sana ya mashamba ya chai. Sikuweza kusimama maana nilikuwa na safari ndefu kidogo mpaka mikumi na ilikuwa tayari jioni.
 
Back
Top Bottom