Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wallahi siku zote nilikuwaga najua wewe ni me. Pole mwaya kama uchumi uko vizuri uwe unatengeneza tu haina haja ya kuhangaika nao maana wengi hata ukisema uwalipishe hawana cha kutoa!
 
Aisee! Kumbe ni mdada?!! Anyway una bahati hata wanasimama kuomba msamaha. Ni hivi Bana sana kulia wasipite Kati. Waache wapite kushoto. Wakipita kushoto huwa wana adabu coz wanajua huko hawaonekani ujinga kidogo anatupwa mtaroni.
 
Wewe ilitakiwa mm ndio nikufundishe kuendesha gari[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naitafutia safari niguse hata 170...View attachment 2090517
Nimetest huyu mnyama...

Ishu ni kuwa nilikua naishia speed 150 tu out of 240.... Yani ikifika 150 rpm inakua kwenye 3-4....

Nmeshindwa kuvuka 150 atleast nipate 200.

Sijui ni gari halichanganyi vyema au uoga wangu....

Nadhani kuna kitu hakipo sawa..
Na ile barabara kuna muda inaita na ilikua nyeupe weekend....
 
Ayseeee,kwanza mimi hata kwenye kuvuka reli huwa siwazi hazard,nilishawashiana siku moja pale Bahi mpakani kuvukia MANYONI,pale relini basi naona raha kweli hata nikiwa naenda Mwanza pale Manyoni hivyohivyo siwashi hazard,naona raaaaaha sana kubishana na askari.
Juzi sijui malaika gani alinitembelea eti nikampa lift askari toka Nzega hadi Manyoni,halafu askari polisi.!!
 
Kama ni lazima kuwasha kwanini usiwashe mkuu, huogopi 30000?
Hutakiwi kuwasha sema askari hawajui sheria za usalama barabarani,ukiwasha/matumizi ya hazard maana yake ni dharula na unamruhusu wa nyuma yako kuweza kukupita,sasa askari wanafikiri hazard inawashwa sehemu kama hizo na kwenye zebra.
Rwanda ukijichanganywa awashe hazard kwenye zebra unakuwa tayari umeshayakanyaga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…