Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Ujue huwa sionagi hizi content unazoziweka?
Nahisi app yangu ina shida sehemu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujue huwa sionagi hizi content unazoziweka?
App inazingua ila web browser zina play freshUjue huwa sionagi hizi content unazoziweka?
Nahisi app yangu ina shida sehemu.
Siyo yako tu my dear yani wote tunaotumia app hatuwezi kufungua videos sijui kwanini. Ni hadi utumie browser.Ujue huwa sionagi hizi content unazoziweka?
Nahisi app yangu ina shida sehemu.
Wallahi siku zote nilikuwaga najua wewe ni me. Pole mwaya kama uchumi uko vizuri uwe unatengeneza tu haina haja ya kuhangaika nao maana wengi hata ukisema uwalipishe hawana cha kutoa!Wakuu msinichoke nahitaji experience kutoka kwenu, nipo barabarani wiki ya tatu sasa site mirror zote zimeharibika kwa kugongwa na bodaboda, ya kushoto imegongwa mara mbili na ya kulia mara moja, sasa zote hazipandi wala kushuka yaan zimeharibika. Hao bodaboda wakinigonga wananifuata dada naomba unisamehe sana tena kwa unyenyekevu mkubwa sana, hua nawaacha, je nyie hua mnawafanyaje? mnawalipisha? ina maana kila mwezi niwe na bajeti ya kutengeneza site mirrors au wanatakiwa walipe wao? asanteni na poleni kwa maswali
@Maxence Melo rekebisha hii.Siyo yako tu my dear yani wote tunaotumia app hatuwezi kufungua videos sijui kwanini. Ni hadi utumie browser.
Aisee! Kumbe ni mdada?!! Anyway una bahati hata wanasimama kuomba msamaha. Ni hivi Bana sana kulia wasipite Kati. Waache wapite kushoto. Wakipita kushoto huwa wana adabu coz wanajua huko hawaonekani ujinga kidogo anatupwa mtaroni.Wakuu msinichoke nahitaji experience kutoka kwenu, nipo barabarani wiki ya tatu sasa site mirror zote zimeharibika kwa kugongwa na bodaboda, ya kushoto imegongwa mara mbili na ya kulia mara moja, sasa zote hazipandi wala kushuka yaan zimeharibika. Hao bodaboda wakinigonga wananifuata dada naomba unisamehe sana tena kwa unyenyekevu mkubwa sana, hua nawaacha, je nyie hua mnawafanyaje? mnawalipisha? ina maana kila mwezi niwe na bajeti ya kutengeneza site mirrors au wanatakiwa walipe wao? asanteni na poleni kwa maswali
Kuna mama tunamuita mama spacio.Asante, hahaha, mbona jina langu lipo wazi mkuu. Dah changamoto kwelikweli kilasiku waniharibie jamani
Niliweka kituo kwa muda mkuu,nmeshatokaHuo mji sikuwahi kuuelewa wala kuufurahia ......mkuu unapita au umeweka kituo kwa muda?
Songela Munanso!Hahaha, mnanso ni binti kwa kikwetu, hua naendeshea upande wa kulia mara nyingi kwasababu upande wa kushoto ni WA kusimama daladala, labda nibane zaidi huko kulia
Wewe ilitakiwa mm ndio nikufundishe kuendesha gari[emoji23][emoji23][emoji23]Wakuu msinichoke nahitaji experience kutoka kwenu, nipo barabarani wiki ya tatu sasa site mirror zote zimeharibika kwa kugongwa na bodaboda, ya kushoto imegongwa mara mbili na ya kulia mara moja, sasa zote hazipandi wala kushuka yaan zimeharibika. Hao bodaboda wakinigonga wananifuata dada naomba unisamehe sana tena kwa unyenyekevu mkubwa sana, hua nawaacha, je nyie hua mnawafanyaje? mnawalipisha? ina maana kila mwezi niwe na bajeti ya kutengeneza site mirrors au wanatakiwa walipe wao? asanteni na poleni kwa maswali
Nimetest huyu mnyama...Naitafutia safari niguse hata 170...View attachment 2090517
Kwanza ungekuwa dereva unayejiamini yaani ni mwendo wa kibati tu hizo bodaboda zingekzogopa[emoji23][emoji23]Ungenipelekesha eeeee?
Hii video niliiona kipindi cha nyuma kidogo.kuna watu wana courage iliyopitiliza cheki huyu jamaa, anavyojiachia kwenye German autobahn
Bugatti Chiron on Autobahn - 417 KPH (GPS) On-Board CAM | POV GoPro
View attachment 2112972
Mwendo zaidi ya bullet trainHii video niliiona kipindi cha nyuma kidogo.
Nikajisemea watu wana raha sana duniani.
400 kph. Lazima nihadithie mpaka kijijini.
Halafu sio courage tu, barabara ipo kiwango. Ipo straight na hakuna magari mengi. Wabishi wangeenda mpaka 450.
Huyo ndio akiyekuharibu ndio maana bodaboda wanakuonea sana mkuu[emoji23]Hahaha, kwakweli ungenisaidia, maana mwalimu wangu full kunitisha eti gari ni Kaburi na gari ni jela so niwe makini mnooo
Ayseeee,kwanza mimi hata kwenye kuvuka reli huwa siwazi hazard,nilishawashiana siku moja pale Bahi mpakani kuvukia MANYONI,pale relini basi naona raha kweli hata nikiwa naenda Mwanza pale Manyoni hivyohivyo siwashi hazard,naona raaaaaha sana kubishana na askari.Na ameniharibu kwelikweli, imagine eti ukifika kwenye zebra usivuke ule mstari, usimame hata kama hamna mtu anayetaka kuvuka, uangalie kulia na kushoto ndio uvuke, sasa raia nyuma full kunipigia honi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hutakiwi kuwasha sema askari hawajui sheria za usalama barabarani,ukiwasha/matumizi ya hazard maana yake ni dharula na unamruhusu wa nyuma yako kuweza kukupita,sasa askari wanafikiri hazard inawashwa sehemu kama hizo na kwenye zebra.Kama ni lazima kuwasha kwanini usiwashe mkuu, huogopi 30000?