Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wakuu msinichoke nahitaji experience kutoka kwenu, nipo barabarani wiki ya tatu sasa site mirror zote zimeharibika kwa kugongwa na bodaboda, ya kushoto imegongwa mara mbili na ya kulia mara moja, sasa zote hazipandi wala kushuka yaan zimeharibika. Hao bodaboda wakinigonga wananifuata dada naomba unisamehe sana tena kwa unyenyekevu mkubwa sana, hua nawaacha, je nyie hua mnawafanyaje? mnawalipisha? ina maana kila mwezi niwe na bajeti ya kutengeneza site mirrors au wanatakiwa walipe wao? asanteni na poleni kwa maswali
Wallahi siku zote nilikuwaga najua wewe ni me. Pole mwaya kama uchumi uko vizuri uwe unatengeneza tu haina haja ya kuhangaika nao maana wengi hata ukisema uwalipishe hawana cha kutoa!
 
Wakuu msinichoke nahitaji experience kutoka kwenu, nipo barabarani wiki ya tatu sasa site mirror zote zimeharibika kwa kugongwa na bodaboda, ya kushoto imegongwa mara mbili na ya kulia mara moja, sasa zote hazipandi wala kushuka yaan zimeharibika. Hao bodaboda wakinigonga wananifuata dada naomba unisamehe sana tena kwa unyenyekevu mkubwa sana, hua nawaacha, je nyie hua mnawafanyaje? mnawalipisha? ina maana kila mwezi niwe na bajeti ya kutengeneza site mirrors au wanatakiwa walipe wao? asanteni na poleni kwa maswali
Aisee! Kumbe ni mdada?!! Anyway una bahati hata wanasimama kuomba msamaha. Ni hivi Bana sana kulia wasipite Kati. Waache wapite kushoto. Wakipita kushoto huwa wana adabu coz wanajua huko hawaonekani ujinga kidogo anatupwa mtaroni.
 
Wakuu msinichoke nahitaji experience kutoka kwenu, nipo barabarani wiki ya tatu sasa site mirror zote zimeharibika kwa kugongwa na bodaboda, ya kushoto imegongwa mara mbili na ya kulia mara moja, sasa zote hazipandi wala kushuka yaan zimeharibika. Hao bodaboda wakinigonga wananifuata dada naomba unisamehe sana tena kwa unyenyekevu mkubwa sana, hua nawaacha, je nyie hua mnawafanyaje? mnawalipisha? ina maana kila mwezi niwe na bajeti ya kutengeneza site mirrors au wanatakiwa walipe wao? asanteni na poleni kwa maswali
Wewe ilitakiwa mm ndio nikufundishe kuendesha gari[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naitafutia safari niguse hata 170...View attachment 2090517
Nimetest huyu mnyama...

Ishu ni kuwa nilikua naishia speed 150 tu out of 240.... Yani ikifika 150 rpm inakua kwenye 3-4....

Nmeshindwa kuvuka 150 atleast nipate 200.

Sijui ni gari halichanganyi vyema au uoga wangu....

Nadhani kuna kitu hakipo sawa..
Na ile barabara kuna muda inaita na ilikua nyeupe weekend....
 
kuna watu wana courage iliyopitiliza cheki huyu jamaa, anavyojiachia kwenye German autobahn

Bugatti Chiron on Autobahn - 417 KPH (GPS) On-Board CAM | POV GoPro

Screenshot (37).png
 
Na ameniharibu kwelikweli, imagine eti ukifika kwenye zebra usivuke ule mstari, usimame hata kama hamna mtu anayetaka kuvuka, uangalie kulia na kushoto ndio uvuke, sasa raia nyuma full kunipigia honi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ayseeee,kwanza mimi hata kwenye kuvuka reli huwa siwazi hazard,nilishawashiana siku moja pale Bahi mpakani kuvukia MANYONI,pale relini basi naona raha kweli hata nikiwa naenda Mwanza pale Manyoni hivyohivyo siwashi hazard,naona raaaaaha sana kubishana na askari.
Juzi sijui malaika gani alinitembelea eti nikampa lift askari toka Nzega hadi Manyoni,halafu askari polisi.!!
 
Kama ni lazima kuwasha kwanini usiwashe mkuu, huogopi 30000?
Hutakiwi kuwasha sema askari hawajui sheria za usalama barabarani,ukiwasha/matumizi ya hazard maana yake ni dharula na unamruhusu wa nyuma yako kuweza kukupita,sasa askari wanafikiri hazard inawashwa sehemu kama hizo na kwenye zebra.
Rwanda ukijichanganywa awashe hazard kwenye zebra unakuwa tayari umeshayakanyaga
 
Back
Top Bottom