Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Lazima uwakute wa kutosha wameshakula xmas na mwaka mpya..

Sasa hivi watakuwa na njaa za aina mbili

1.Kiwi.
2.Januari wanatafuta hela za mabegi ya shule,madaftari, ada na matumizi mengine ya watoto wao wanaorudi shule...

Hapa watakagua gari mpk ambavyo havijawahi kukaguliwa
 
Inaonekana yako unaitumia kwenda sokoni tu. Na soko lenyewe liko mtaa wa pili.
 
Inaonekana yako unaitumia kwenda sokoni tu. Na soko lenyewe liko mtaa wa pili.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] hapo ndio huwa unaisikia, kanyaga break, washa wiper, Sasa ole wako maji yakatae kutumia kwenye kioo[emoji23][emoji23]
 
Anakwambia washa taa wakati ni mchana!
 
Asanteni Sana katavi nimekuka kuku Sana.
Baada ya mapumzziko hapa sumbawanga nikisubiri tiny yangu isawazishe gori Sasa naitafuta Mbeya.

Wwnye kujua viwanja vizuri Mbeya nijuzeni nalala Mbeya asubuhi naanza safariView attachment 1663996
Mikoa ya kilimo hio mkuu,mambo ya bata huko sio mahala Pake.

Unaweza kukuta roundabout ya mkoa imepandwa michicha,tembele,ina kashamba darasa hapohapo.

Samahani lkn.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mikoa ya kilimo hio mkuu,mambo ya bata huko sio mahala Pake.

Unaweza kukuta roundabout ya mkoa imepandwa michicha,tembele,ina kashamba darasa hapohapo.

Samahani lkn.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo ni ramli chonganishi mkuu

Mbeya bata lipo boss wangu. Ushindwe wewe tu.
 
Uncle wangu huwa ni mtu wa maspeed sana. Hiwa safari zake za dar to moshi masaa matano mpk nyumbani kbs. Lakini huwa tunashangaa sana inakuaje anatoboa bila vyeti. Akatufundishaga mbinu yake. Huwa anapanga CD pape mbele kwenye dashboard anatandaza. Anasema trafiki akipiga camera anaambulia sifuri. Kuna anayeijua hii mbinu? Kuna ambaye amewahi jaribu?

Ajitokeze mtu aijaribu basi [emoji28]

Hivi kuna matrafiki kwani huku? Tusiharibiane mbinu zingine jamani
 
Kama ni kweli.. umeuza mechi tayari 😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…