Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,515
- 9,415
Lazima uwakute wa kutosha wameshakula xmas na mwaka mpya..Wakati nakuja Arusha nilikuwa na mdogo angu.
Yeye anapenda amshaamsha.
Nikamwambia hizo 30K tutakazopigwa zikifika 5 tu ni full tank kabisa ya kututoa Dar mpaka Arusha.
Akawa mpole ila njiani hatukukuta trafic. Ndo tukajiachia haswa.
Nadhani wakati wa kurudi ndo ntawakuta wa kutosha.
Sent from my SM-A720F using JamiiForums mobile app
Sasa hivi watakuwa na njaa za aina mbili
1.Kiwi.
2.Januari wanatafuta hela za mabegi ya shule,madaftari, ada na matumizi mengine ya watoto wao wanaorudi shule...
Hapa watakagua gari mpk ambavyo havijawahi kukaguliwa