Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Kama imezama hapo hurusiwi kusogea kutoa chochote hapo inahesabika kama Wreck (salia la meli iliyozama) Marine authority ya Portuguese watawekea Mark au alama Kwa ajili ya usalama wa watumiaji wengine wa Bahari.

Kuzichomoa Moja moja inawezekana, ila Kwa vile Ureno Kuna waswahili unaweza Kuta watu wamezamia kuchomoa spare parts.
 
Watu wana madharau huko mabarabarani 🤣
Palikuwa na mtu kapack ractis service road nyembamba ile anashuka kuna vanguard ikawa inaingia, sehemu ndogo ikabidi aingie kwa kujibana sana.
Driver wa vanguard karopoka “ wewe gari yenyewe mbaya na bado unaipack vibaya 😁
Nimecheka kwa masikitiko 😁😁

Nb. Wenye ndinga kali na nzuri nzuri jamani msitunyanyapae wengine 🏃‍♀️🏃‍♀️
 
Hahaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…