Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Hivi kwanini bei zinatofautiana?
Total huku wao ni 2620 petrol
Zinatofautiana kwa sababu wengine wanataka kupata faida kubwa sana,wengine faida kubwa wengine faida ya kawaida.


Totali tayari ishajibrand..hata wakiweka bei kubwa bado wana wateja wao.

Sehemu nyingine bei zinatofautiana maana mafuta ni kama betting tu,timing ya kununua depo.
Bei inapanda na kushuka wakati wowote..sasa ikitokea unenunua kwa wingi na bei elekezi zikapanda basi hata ukiuza bei ya kawaida tu unapata faida.
 
[emoji1787]
20220307_091033.jpg
 
Back
Top Bottom