Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa lake oil wao wanatumia mbinu gani kuuza petrol 2500[emoji848]Itakuwa 2300 diesel.
2570 petrol.
Kwa wengine sijui ipoje.
Duh ss hapa mbona km zote mboga izo? [emoji849]
Heheheheh range rover iko njiani kutua bandarini dea, huu mwaka mbna wangu, kuwa mpolee ntasumbua mjini balaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mdogo wangu nionyeshe Clavia yako [emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] range rover iko njiani, kaeni kwa kutulia, mzagamuo hautoki buree, una gharama zake. UwiiiiihMzagamuo
Ana clavia[emoji1787][emoji848]
Kitu kitu kitu
Ikinaama raha
Ikinyanyuka alwaa
Khaa
Nakuja niandalie msokoto m1 wa kibabe sana nikiwashe mwilini, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo pamebaki pa meetings tu[emoji1787]
Kama nakuona ulivyokaa kireee
Njoo kipong huku tuvute bangi [emoji38]
Nguvu zinazalishwa mwilini hatuna haja ya kuongezea nyingine kwa vyakula heavyDuh ss hapa mbona km zote mboga izo? [emoji849]
Walinunua stock kubwa kabla ya kupanda Kwa beiHawa lake oil wao wanatumia mbinu gani kuuza petrol 2500[emoji848]
Hivi kwanini bei zinatofautiana?Itakuwa 2300 diesel.
2570 petrol.
Kwa wengine sijui ipoje.
Zinatofautiana kwa sababu wengine wanataka kupata faida kubwa sana,wengine faida kubwa wengine faida ya kawaida.Hivi kwanini bei zinatofautiana?
Total huku wao ni 2620 petrol
Nimepafika kipongHapo pamebaki pa meetings tu[emoji1787]
Kama nakuona ulivyokaa kireee
Njoo kipong huku tuvute bangi [emoji38]
Bei ya Chugastan hiiHivi kwanini bei zinatofautiana?
Total huku wao ni 2620 petrol
Huyo anataka mzunguko mkubwa wa mafuta na abapata faidaHawa lake oil wao wanatumia mbinu gani kuuza petrol 2500[emoji848]
Looh nimeangalia online, kumbe na wale wale tu [emoji1787][emoji1787]Kenya bei gani?
I guess Malawi au Zambia ndio cheaper na watu walikuwa wanavuka boda kujaza mafuta.Looh nimeangalia online, kumbe na wale wale tu [emoji1787][emoji1787]
Last update Sept 2021 iliongezwa kwa Ksh 7 kufikia KSh134.72 for a litre of petrol.
Mwaka jana wakenya walikuwa wanavuka kuja TZ kujaza mafuta!I guess Malawi au Zambia ndio cheaper na watu walikuwa wanavuka boda kujaza mafuta.