Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Mkaokoe magari jamani.
20220303_083352.jpg
 
Kama imezama hapo hurusiwi kusogea kutoa chochote hapo inahesabika kama Wreck (salia la meli iliyozama) Marine authority ya Portuguese watawekea Mark au alama Kwa ajili ya usalama wa watumiaji wengine wa Bahari.

Kuzichomoa Moja moja inawezekana, ila Kwa vile Ureno Kuna waswahili unaweza Kuta watu wamezamia kuchomoa spare parts.
 
Watu wana madharau huko mabarabarani 🤣
Palikuwa na mtu kapack ractis service road nyembamba ile anashuka kuna vanguard ikawa inaingia, sehemu ndogo ikabidi aingie kwa kujibana sana.
Driver wa vanguard karopoka “ wewe gari yenyewe mbaya na bado unaipack vibaya 😁
Nimecheka kwa masikitiko 😁😁

Nb. Wenye ndinga kali na nzuri nzuri jamani msitunyanyapae wengine 🏃‍♀️🏃‍♀️
C8C8FFEA-9485-43E1-9B27-C703C332736B.jpeg
 
Watu wana madharau huko mabarabarani [emoji1787]
Palikuwa na mtu kapack ractis service road nyembamba ile anashuka kuna vanguard ikawa inaingia, sehemu ndogo ikabidi aingie kwa kujibana sana.
Driver wa vanguard karopoka “ wewe gari yenyewe mbaya na bado unaipack vibaya [emoji16]
Nimecheka kwa masikitiko [emoji16][emoji16]

Nb. Wenye ndinga kali na nzuri nzuri jamani msitunyanyapae wengine [emoji2088][emoji2088]
View attachment 2138595
Hahaaaaaa
 
Back
Top Bottom