Vanguard anamchekaje mwenye Ractis?Watu wana madharau huko mabarabarani [emoji1787]
Palikuwa na mtu kapack ractis service road nyembamba ile anashuka kuna vanguard ikawa inaingia, sehemu ndogo ikabidi aingie kwa kujibana sana.
Driver wa vanguard karopoka “ wewe gari yenyewe mbaya na bado unaipack vibaya [emoji16]
Nimecheka kwa masikitiko [emoji16][emoji16]
Nb. Wenye ndinga kali na nzuri nzuri jamani msitunyanyapae wengine [emoji2088][emoji2088]
View attachment 2138595
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani uongo? Akati ni kweli lolWatu wana madharau huko mabarabarani [emoji1787]
Palikuwa na mtu kapack ractis service road nyembamba ile anashuka kuna vanguard ikawa inaingia, sehemu ndogo ikabidi aingie kwa kujibana sana.
Driver wa vanguard karopoka “ wewe gari yenyewe mbaya na bado unaipack vibaya [emoji16]
Nimecheka kwa masikitiko [emoji16][emoji16]
Nb. Wenye ndinga kali na nzuri nzuri jamani msitunyanyapae wengine [emoji2088][emoji2088]
View attachment 2138595
Statistically airplanes are safer than buses30, natamani kuishi aisee. Kwa ujumla naogopa safari na nikiwa na safari hua naumwa kwa woga, kwa ndege ndio kabisa hua naumwa had homa. At least kwa bus nakua na amani zaidi kwasababu mwendo wa bus ni mzuri sana
Sina experience..Vanguard anamchekaje mwenye Ractis?
Eyembe beach pub, Makoko, Musoma.Kiongozi wapi hii labda na Sisi tunaweza kusimama?
Mdogo wangu nionyeshe Clavia yako 😄[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani uongo? Akati ni kweli lol
Kesho na betWatu wana madharau huko mabarabarani [emoji1787]
Palikuwa na mtu kapack ractis service road nyembamba ile anashuka kuna vanguard ikawa inaingia, sehemu ndogo ikabidi aingie kwa kujibana sana.
Driver wa vanguard karopoka “ wewe gari yenyewe mbaya na bado unaipack vibaya [emoji16]
Nimecheka kwa masikitiko [emoji16][emoji16]
Nb. Wenye ndinga kali na nzuri nzuri jamani msitunyanyapae wengine [emoji2088][emoji2088]
View attachment 2138595
MzagamuoMdogo wangu nionyeshe Clavia yako [emoji1]
Wewe 🤣🤣Kesho na bet
Nikipata b 5.5
Nakununulia
Gari ya ndoto yako
Toto zuri uachwe kusimangwa
Pole lakini mwaisa
MamaaaaMzagamuo
Ana clavia[emoji1787][emoji848]
Kitu kitu kitu
Ikinaama raha
Ikinyanyuka alwaa
Khaa
Nipo jimboni kwakoMamaaaa
Nini hiki jamani [emoji3][emoji3]
Lugha za daslam ngumu sana
Hapo pamebaki pa meetings tu🤣Nipo jimboni kwako
Karibu hapa milestone
I wish ningekuwa na smoke weedHapo pamebaki pa meetings tu[emoji1787]
Kama nakuona ulivyokaa kireee
Njoo kipong huku tuvute bangi [emoji38]
Yan kwamba uwaga huloweki kivilee 🤣I wish ningekuwa na smoke weed
Ilinikaa kushoto
Mie gambe fegi na ugali
Nanilii kidogo sana
Hivi yaani
Ulisikia wapi[emoji848]Yan kwamba uwaga huloweki kivilee [emoji1787]
Safi mwana, piga ugali [emoji16]
Maneno yaliyotakiwa kusemwa na mtu mwenye Prado au LC200.Mkuu unataka kusema Vanguard na Ractis ni Sawa? 30m Vs 10m ? Hata kiumbo Vanguard nzuri zaidi.