Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Hamna bana nimetembea hio njia ya Dom juzi kati wengi mnatanua bila uoga yani gari inatanua iko 130KPH.

Gari nyingi zina plate namba za ajabu zile SKP18425 inasemekana ni za wakushi[emoji28]
Bora hao kuliko wale wazee wa ving'ora na vibendera wanaotakaga wapishwe hadi kwenye highways! Wangekuwa wanaunga tela kwenye ligi tu kama watu wengine zile gari si zinakimbia wanachojifanya kusubiri barabara iwe nyeupe kitu gani kucheleweshana tu!
 
Hii misafara hata haikimbii.

Inatembea speed za kawaida sana.

Vile wanatengenezewa barabara nyeupe ndo mnaona wanakimbia sana.
 
Hahahahah jiandae kununua bei ya juu zaidi ukifika mjini
naishia matakoni huku huku
IMG_20220309_052640_edit_59390519385206.jpg
 
Tuko pamoja mkuu, gari ni SUV bana hizi Toy Cars hapana[emoji28]
SUV ikiwa busy inakimbia huwa inavutia sana halafu ukute kwa pembeni au nyuma ina muonekano wa kibabe! Hizo sports cars and the likes wengine tunapenda tuishie kuziona kwenye racing na drifting games tu ila vikiwa kwenye public roads vinachekesha hasa bongo ukute kiko kwenye foleni pale mwenge yaani kinaonekana very odd labda kwa wenzetu huko ambako viko shazi kama mchele!
 
Tuacheni na sports car zetu.. bakini na SUV zenu
 
Back
Top Bottom