Anaeleweka na ana bei nafuu ni Total tu ambayo ina range hapo 60k ila Castrol ni 90kWanyonge tutaishi nazo tu! Kuna mahali niliuliza juzi 5w 30 ni 60K...
Nilishangaa kweli😅 wakati kwa wazee wa Bonn na Frankfurt Liqui Molly oil ni bei ya battery ya Gari!😂
Hahahahahah guess i told you before Lake Oil ndio mpango mzima kama unataka kuinjoy misele! Total karoho lazma kaume mzee mafuta hayakai kabisa kama tank limetoboka😅
Total tuwaachie wale wa kujazia na card za ofisi😅
Hata ligi sasa hivi naziangalia tu.. maana hazina kulipwa.. kuna VXR mmoja ina minamba meusi.. alinikuta sehemu wakaanza kunipigia ile mioni ya twende twende acha kutembea kimama.. waliiningiza kingi na kuharibu bata langu lote.. ilinilazimu kuingia kituo cha mafuta upyaaa 😀😀😀😀😀..Kuwa makini gari za mzungu hazina uvimilivu.
Total mkombozi wa Wanyonge maana imagine crown inakula litre 6 mzee dah😅 lazma upasuke tu!Anaeleweka na ana bei nafuu ni Total tu ambayo ina range hapo 60k ila Castrol ni 90k
Ligi zinamaliza wese balaa. Kuna watu hawana adabu unajikuta unawanyoosha tu huku wese linakunyoosha na wewe😂😂Hata ligi sasa hivi naziangalia tu.. maana hazina kulipwa.. kuna VXR mmoja ina minamba meusi.. alinikuta sehemu wakaanza kunipigia ile mioni ya twende twende acha kutembea kimama.. waliiningiza kingi na kuharibu bata langu lote.. ilinilazimu kuingia kituo cha mafuta upyaaa 😀😀😀😀😀..
Hamna sheli ya hapo bei ndio ishapanda mzee! Wakati nyie mnauziwa 2,480 Total hapo lake oil ilikuwa 2,400 kamili!Hata Mimi nimeweka lake oil 2,480 nafikiri bado ana mzigo mwingi wa zamani.
Hii napiga oil ya kijerumani 120,000 6L natembea 8000k. Nimepiga service December sasa hivi nakaribia 6k kmTotal mkombozi wa Wanyonge maana imagine crown inakula litre 6 mzee dah😅 lazma upasuke tu!
Ugongwe 90K plus 20K ya litre 1 😅 ni kipigo tu kwenye wallet yako!
Sema total hata enginr unaisikia tofauti ila ndio ivyo sasa 😀😀Mafuta si yale yale mkuu, ila nahisi total kuna kitu wanawaka ili mrudi rudi sheli kwao frequently😅
[emoji3064][emoji3064]Hata ligi sasa hivi naziangalia tu.. maana hazina kulipwa.. kuna VXR mmoja ina minamba meusi.. alinikuta sehemu wakaanza kunipigia ile mioni ya twende twende acha kutembea kimama.. waliiningiza kingi na kuharibu bata langu lote.. ilinilazimu kuingia kituo cha mafuta upyaaa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]..
Sahizi ni kuwa mpole tu maana ukijtia uchizi gauge itasema nawewe kiingereza😅!Hata ligi sasa hivi naziangalia tu.. maana hazina kulipwa.. kuna VXR mmoja ina minamba meusi.. alinikuta sehemu wakaanza kunipigia ile mioni ya twende twende acha kutembea kimama.. waliiningiza kingi na kuharibu bata langu lote.. ilinilazimu kuingia kituo cha mafuta upyaaa 😀😀😀😀😀..
Sasa hivi taratibu ndio mwendo.. ukitembea mwendo wa pesa..jiandae kuzama mfukoni mala nyingi tuSahizi ni kuwa mpole tu maana ukijtia uchizi gauge itasema nawewe kiingereza😅!
Unajifumua na RPM ukimaliza na gauge ya wese nayo inakuzaba makofi😅
Total engine inakuwa rainiii ukisema ligi ndio dah gari inachanganyikiwa balaa😅 sema ni hapo tu kwenye dollar moja kwa kila litre.Sema total hata enginr unaisikia tofauti ila ndio ivyo sasa 😀😀
Hahahahah sahizi nimegundua hata usafiri wa umma ni mzuri pia😅 gari ikiwaka inaenda kutengeneza hela.Sasa hivi taratibu ndio mwendo.. ukitembea mwendo wa pesa..jiandae kuzama mfukoni mala nyingi tu
Unapaki unatumia public tu hupungikiwa kitu 😀😀😀 au kama vipi unadaka ISTHahahahah sahizi nimegundua hata usafiri wa umma ni mzuri pia😅 gari ikiwaka inaenda kutengeneza hela.
Hahahahah ni healthy kutembea mkuu naitumia challenge kujijenga😅Unapaki unatumia public tu hupungikiwa kitu 😀😀😀 au kama vipi unadaka IST
Kwa interval hio hapo salama sana mzee! Bora kufanya service ya namna hio ukae mda mrefu bila kuhangaika na kubadili!Hii napiga oil ya kijerumani 120,000 6L natembea 8000k. Nimepiga service December sasa hivi nakaribia 6k km
Duh nchi imefunguliwa lakini.....Hahahahah ni healthy kutembea mkuu naitumia challenge kujijenga😅
Unapaki unatumia public tu hupungikiwa kitu 😀😀😀 au kama vipi unadaka IST
Hahahahah sahizi nimegundua hata usafiri wa umma ni mzuri pia😅 gari ikiwaka inaenda kutengeneza hela.
Angekuwepo tusinge ruka hizi sarakasi.. tunatamkumbuka kwa mengi tu hasa yale memaDuh nchi imefunguliwa lakini.....
Tuchape kazi...kazi iendeleeAngekuwepo tusinge ruka hizi sarakasi.. tunatamkumbuka kwa mengi tu hasa yale memaView attachment 2147854
Nchi imefunguliwa kwa wahuni😅 naskia tembo wanakula shoka si mchezo huko😂Duh nchi imefunguliwa lakini.....