Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Hahahahahah guess i told you before Lake Oil ndio mpango mzima kama unataka kuinjoy misele! Total karoho lazma kaume mzee mafuta hayakai kabisa kama tank limetoboka😅

Total tuwaachie wale wa kujazia na card za ofisi😅
Kuwa makini gari za mzungu hazina uvimilivu.
Hata ligi sasa hivi naziangalia tu.. maana hazina kulipwa.. kuna VXR mmoja ina minamba meusi.. alinikuta sehemu wakaanza kunipigia ile mioni ya twende twende acha kutembea kimama.. waliiningiza kingi na kuharibu bata langu lote.. ilinilazimu kuingia kituo cha mafuta upyaaa 😀😀😀😀😀..
 
Ligi zinamaliza wese balaa. Kuna watu hawana adabu unajikuta unawanyoosha tu huku wese linakunyoosha na wewe😂😂
 
Hata Mimi nimeweka lake oil 2,480 nafikiri bado ana mzigo mwingi wa zamani.
Hamna sheli ya hapo bei ndio ishapanda mzee! Wakati nyie mnauziwa 2,480 Total hapo lake oil ilikuwa 2,400 kamili!

Ina maana wameweka ongezeko la tsh. 80 kwenye original price.

Total wameongeza Tsh.60 kwenye price ya 2,480 kufikia 2,540..
 
Hata ligi sasa hivi naziangalia tu.. maana hazina kulipwa.. kuna VXR mmoja ina minamba meusi.. alinikuta sehemu wakaanza kunipigia ile mioni ya twende twende acha kutembea kimama.. waliiningiza kingi na kuharibu bata langu lote.. ilinilazimu kuingia kituo cha mafuta upyaaa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]..
[emoji3064][emoji3064]
 
Hata ligi sasa hivi naziangalia tu.. maana hazina kulipwa.. kuna VXR mmoja ina minamba meusi.. alinikuta sehemu wakaanza kunipigia ile mioni ya twende twende acha kutembea kimama.. waliiningiza kingi na kuharibu bata langu lote.. ilinilazimu kuingia kituo cha mafuta upyaaa 😀😀😀😀😀..
Sahizi ni kuwa mpole tu maana ukijtia uchizi gauge itasema nawewe kiingereza😅!

Unajifumua na RPM ukimaliza na gauge ya wese nayo inakuzaba makofi😅
 
Duh nchi imefunguliwa lakini.....
Angekuwepo tusinge ruka hizi sarakasi.. tunatamkumbuka kwa mengi tu hasa yale mema
images.jpeg
 
Back
Top Bottom