Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Maweee[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Labda walikupiga tu,zote bei sawa. Bei hii niliona hapo njia ya Kibada kwanza.
RRONDO niaje mazee, leo jioni niko home O/Bay nafanya mazoezi ile nimefika Elements nimekutana na Mercedes Maybach S 580 au S680 sikumbuki vizuri, lakini ni 4Matic V-12. Unajua ni kama huamini kama kuna wabongo wanaweza kuwa na chuma kama hiki. Iko kama hii hapa kwenye picha, hadi rangi, nimewaza sana ila acha tuu.

 
Naifahamu ya mtu mkubwa mmoja anakaa Kinondoni. Kwa privacy yake siwezi kutaja jina lake. Watu wana fedha ndugu yangu.
 
Wabongo Wana mawe sio kitoto Ila huwa Wana keep it Low Key sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…