Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Screenshot_20220312-152141.png
 
Hata ligi sasa hivi naziangalia tu.. maana hazina kulipwa.. kuna VXR mmoja ina minamba meusi.. alinikuta sehemu wakaanza kunipigia ile mioni ya twende twende acha kutembea kimama.. waliiningiza kingi na kuharibu bata langu lote.. ilinilazimu kuingia kituo cha mafuta upyaaa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]..
Maweee[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Labda walikupiga tu,zote bei sawa. Bei hii niliona hapo njia ya Kibada kwanza.
RRONDO niaje mazee, leo jioni niko home O/Bay nafanya mazoezi ile nimefika Elements nimekutana na Mercedes Maybach S 580 au S680 sikumbuki vizuri, lakini ni 4Matic V-12. Unajua ni kama huamini kama kuna wabongo wanaweza kuwa na chuma kama hiki. Iko kama hii hapa kwenye picha, hadi rangi, nimewaza sana ila acha tuu.

2022-mercedes-maybach-s680.jpg
 
View attachment 2148330
Naifahamu ya mtu mkubwa mmoja anakaa Kinondoni. Kwa privacy yake siwezi kutaja jina lake. Watu wana fedha ndugu yangu.
 
RRONDO niaje mazee, leo jioni niko home O/Bay nafanya mazoezi ile nimefika Elements nimekutana na Mercedes Maybach S 580 au S680 sikumbuki vizuri, lakini ni 4Matic V-12. Unajua ni kama huamini kama kuna wabongo wanaweza kuwa na chuma kama hiki. Iko kama hii hapa kwenye picha, hadi rangi, nimewaza sana ila acha tuu.

View attachment 2148330
Wabongo Wana mawe sio kitoto Ila huwa Wana keep it Low Key sana
 
Back
Top Bottom